Siku ya Wanawake, Straight Talk

Siku ya Wanawake, Straight Talk

lara 1

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2012
Posts
15,700
Reaction score
29,190
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Tuanze kumshukuru Mungu, Lord we thank you for thy sisters Wema Sepetu, Jojo, Penny kwa kuachana na that treacherous, lying, manipulating, blabbing EXCUSE OF A MAN, Daimondo guy. Hallelujah! Tunafunga nguvu zozote za hawa mabinti kurudiana na huyu mtu, nguvu zozote za kuwarudisha nyuma zishindwe na zilegeee. Grant them REAL MEN that they deserve. Lord we thank you for our sisters Lady Jaydee, Flora Mbasha and Vicky Kamata for being their for them while most Tanznian women race was stabbing thy sisters on the back with gossip and slander. Grant them peace of heart and endurance to stand up again. AMEN!

Wanawake wenzangu tunaendekeza ubinafsi na kuona maswahiba yanayomkuta mwanamkemwenzio hayakuhusu. Naomba niwape kisa cha Kuku na nyoka. Bandani kulikuwa na kuku, kondoo, mbuzi, na ngombe. Sasa kuku alikuwa kila akitaga mayai yake anakuja nyoka kumuibia. Akawaambia wenzie jama jama nisaidieni tumtokomeze huyu nyoka. Wenzie wakamkana akhaaa! Hilo tatizo lako deal with it. Sisi halituhusu. Kuku akawa defenseless. Siku isio na jina maza hausi kaja kuchukua mayai, shabashhhhhh yule nyoka kamgonga yule mama, ndo kulazwa. Wa kwanza akachinjwa kuku kupeleka supu ya mgonjwa, baadae wakachinjwa mbuzi na kondoo kupeleka supu hospitali. Maskini ya Mungu siku ya siku mama akafariki, msibani ikabidi achinjwe Ngombe. Ngombe alivofatwa akawaza tu kumbe yule nyoka hakuwa tatizo la kuku pke yake bali ni tatizo la wote.

Ofisi nyingi wanawake wengi wananyanyasika mnoo mnoo moo ingali ma hr ni wanawake. All they have to do is change some policies but they wont. Kujipendekeza kwa wanaume. Mabinti wakianza kazi au field wanatumika na wanaume against their will, sababu wanaganga njaa wnakuwa hawana otion, wanawake wamama in top levels they gossip about it wakisahau kesho na kesho kutwa watoto wao nao watakuwa sandakalawe mule mule. Inakuwa vicious cycle of kumalizana wanawake kwa wana wake.

Hata humu MMU, men run the show! Why? 1st we are out numbered that is a fact. And the little few we are left most of us are at war either publicly or privately. Hahahahaaa. Over the years nimeona mwanamke akianza kufanya vizuri MMU, nakuja juu na hoja nzito, michango give them 6 month, mostly a year lazima apoe kama maji ya mtungi au abadilishe ID.

Hahahaaaaaaa! They get rid of her, put her in her place and makes sure they have something to shut her up for good! Cyber bullying PM ni kubwa sana kwa wadada. Ikitokea mdada anachallange wnaume wee watamjia kama nyuki, playing clean and foul at the same time. Kuna vichwa vingi sanaa vimezimika kama mshumaa, sitaki kutaja majina but most of those legends wamebadili ID and they learnt their lessson MMU world is MENS WORLD.

Not to mention the TRIPLE ENTENTE. Hahahahaaa! These are Men, EVIL MEN, who sleep with every new naive girl in here whenever and wherever they feel like it, some of you know it, i know it too, they know it too but NOBODY IS SAYING SHIT ABOUT SHIT. Tunafatilia tu countdown yule tayari, yule bado kidogo. Hahhahaaaaaa! I wish i could take them down but they have dirty on me too already. Lot of dirty i wouldn't enjoy reading it here. Well i am praying for the best while preparing for the worst. I would go down neither easily nor quietly! Some of these girls are small girls! Some of these women are women of virtues, dignity, and morals.

Wanawake tunatumika humu ndani hatariii! Sometimes jitu lina ku pm una ona limekupendaa, mwaka anakufatilia kumbe lime kubet! Hahahahaaa! Kama mwanamke i wish to dare these devils and do something about it, eliminate them all, be a hero, lakini kama nilivosema WATANIZIMA KAMA MSHUMAA! Hahahaaaa! I guess i will keep giving them a slap on the hand kama hivi. Hahahahaaaa! THEY WILL ALWAYS BE GETTING AWAY WITH IT MPAKA ATOKEE WAKUMFUNGA PAKA KENGELE SIO LEO. On the mean time girls BE SMART!

Unyanyasaji wa kimichango nao ni mkubwa sanaaa humu ndani. Just because mwanamke umechangia contrary na mfumo dume, you wouldnt kiss anybodys ass, your a person of your own weeeeeeeee! Mbona unaloooo! Wataku sabottage mpaka ushangae. Kila utakacho comment kosaaa, wata have opinion, utatukanwa, utamentioniwa, utajutraaaaaaa. Lucky for me, i have grown balls over the years and wont be bossed around by stupid sissies. Anybody in my business i will put them in their places and make sure they grow a vajjjj. Lakini haya sio maishaaaa! It is so BARBARIC! Wanawake wengi hii ndo inawafanya wakae tu kimyaaa. Manake ustarabu 0. Hivi wanaume kuwa gender sensitive na kutuacha wanake tuwe, just let us be, IS IT TOO MUCH TO ASK? Is it asking for the moon and the stars? Yani unakuta mdada anasemeshwa mineno mikali, sasa kama sio wa uswahilini anafuta comment. Kama komando kipensi you geab the fool by the balls kumshikisha adabu zake zimshike.

Wanawake wenzangu hali yetu humu ndani sio nzuri kabisaaa. kuna wale wapuuzi mwanamke mwenzio anakuomba urafiki, ili aku spy afu akusambazee kwa tripple ententee. Muwe machoo. I have my share of women that i treated not SO GOOD in the past, ila sipendezwi kabisaa na hii hali, wala sifurahii na sijawahi kufurahia anguko la mwanamke yeyote humu ndani. Hali inazidi kuwa mbaya siku hadi siku. Leo utafurahia anguko la flani kesho itakuwa wewe. Manake mwanamke akisambazwa wachambaji wakubwa ni wanawake.

Sasa wanaume wantumia DIVIDE AND RULE POLICY! Wanatugawa kwanza kuhakikisha hakuna mshikamano, afu wanatutumia sasa watakavyo wao. HII SI SAWAAA! Inatakiwa siku mwanaume akija kumsambaza mwanamke mwenzetu TUNAMGEUZIA KIBAO tunamchamba huyo huyo mwanaume. Hata kama umefanya kweli he has no right whatsoever telling on you. Snitch kama huyo we whoop his a.ss publicly for exemplary purposes. Ukifanyiwa character assassination DONT GO DOWN QUIETLY! Put a fight, set the record straight, tell your story. Kuhama ID hakutusaidii chchote. IT DOES NOT AND WILL NEVER JUSTFY WHAT WAS DONE TO US! The same man will do it again to another WOMAN. BE BRAVE PEOPLE!

HAPPY WOMEN DAY PEOPLE!!!!!!!!!!!!! (HAJATAJWA MTU JAMANI HAINA HAJA YA KUJISTUKIAAA)
 
Ila kiukweli lara 1 unastahili pongezi nyingi sana aisee!! unajitahidi sana kutuburudisha aisee, na mabandiko yako si ya kitoto halafu pia una-invest muda na energy nyingi sana ktk kuandika mabandiko yako.

Mimi binafsi nakukubali sana aisee, saana tu yaani!! kuandika ni inshu jamani, tuwe wawazi tu!!
 
Last edited by a moderator:
Nimekupata mwanamke jasiri, lara1 me kuna kitu kinanisumbua sana na ukweli sioni pa kukimbilia mme, mchumba au bf kukulazimisha kufanya tendo la ndoa, I heard it in more than six women na mimi pia huwa natokewa na ili tatizo kwamba sijisikii kufanya tendo lakini shemejio anataka ila nakua sina jinsi, ila mimi nikiwa najisikia shemejio akiwa amechoka hataki basi hataki kweli, najiuliza kwa nini hivi yeye akitaka mpaka ananisababishia michubuko..... basi nikiona mwanamke yupo kwenye ndoa najiuliza na yeye anaumia kama mimi
 
nmekupata mwanamke jasiri, lala1 me kuna kitu kinanisumbua sana na ukweli sioni pa kukimbilia mme, mchumba au bf kukulazimisha kufanya tendo la ndoa, I heard it in more than six women na mimi pia huwa natokewa na ili tatizo kwamba sijisikii kufanya tendo lakini shemejio anataka ila nakua sina jinsi, ila mimi nikiwa najisikia shemejio akiwa amechoka hataki basi hataki kweli, najiuliza kwa nini hivi yeye akitaka mpaka ananisababishia michubuko..... basi nikiona mwanamke yupo kwenye ndoa najiuliza na yeye anaumia kama mimi

Mmmh huyo mmeo.. huko ndio tunaitana kubakana kwenye ndoa kha...., sio muelewa kwakweli.. ye akichoka sawaa.. we ukichoka si sawa.. huu ni unyanyasaji
Pole mwaya..
 
Mmmh huyo mmeo.. huko ndio tunaitana kubakana kwenye ndoa kha...., sio muelewa kwakweli.. ye akichoka sawaa.. we ukichoka si sawa.. huu ni unyanyasaji
Pole mwaya..

Kubakwa wapi...? Sasa wafanyeje ili kupata genya the same muda.. Afu ujue mwanamume hawezi mbaka mkewe... Sawa hizo mambo zenu za kijinga eti struggle how come unafanya mapambano kwa familia yako za kuambiwa changanya na zako...
 
Duh, hivi humu kuna mambo hivi eeh??? hebu naombeni details zaidi kuhusu hawa TRIPLE ENTENTE aisee, manake loh hadi nimesisimuka
Je, wanatumia mbinu zipi lara 1?? au yeyote mwenye ufahamu
 
Last edited by a moderator:
Mmmh huyo mmeo.. huko ndio tunaitana kubakana kwenye ndoa kha...., sio muelewa kwakweli.. ye akichoka sawaa.. we ukichoka si sawa.. huu ni unyanyasaji
Pole mwaya..

lala1, huyu sio mme ila ni mtarajiwa, niliposema wanawake kwenye ndoa nmemaanisha wao ni lazima watakua wanafanya hicho kitu
 
Happy women's day lara 1
Speaking as a proud woman and a mother....signature yako inasema kila kitu....Member wengi sana walivuma kwa kishindo wamedisappear kimyakimya....tunatakiwa kuwa makini aisee!!
 
Last edited by a moderator:
Wanawake tunaweza sana tena kuliko wanaume nakila siku zinaposonga mbele tunauhakika kuwa tutasambaratisha mfumo uliopo, si kwa kupewa au kuhongwa bali kwa uwezo wetu.

Tatizo kubwa lipo kwetu wenyewe zaidi kuliko kwa wanaume. Wengi wetu tumekuwa "brainwashed" kuanzia malezi, makuzi, mashule, vyuo, makazini, majumbani kuwa mwanamke ni wa kupewa tu. Tumeshindwa kujinasuwa, Imefikia hatua sisi sasa tunahonga hata miili yetu ili kufanikisha mambo yetu, na hilo ndiyo kosa kubwa zaidi ya yote.

Wanawake wachache sana wameliona hilo na wameweza kujitoa huko na kubadilisha kabisa maisha ya mfumo wao.

Nnaamini, kwanza kabisa ni kupiga vita ya "gender harassment" katika mfumo mzima wa kimaisha ndipo tutafanikiwa.

Leo hii, mwanamke akijenga nyumba nzuri inakuwa "kajengewa", mwanamke akiwa na gari zuri inakuwa "kahongwa", akiwa na cheo au nyadhifa nzuri inakuwa "ana kigogo", akiwa na biashara nzuri "mumewe au bwanake nani?",

Mawazo duni kama hayo ndiyo yanafunga akili za watu kuwa mwanamke hawezi bila "kuhongwa" na imefikia mpaka wengi pia wanaamini hivyo.

Hali hiyo imefikia kuingia katika akili zetu mpaka wengi wetu hawaamini kuwa tunaweza bila "kuhongwa" au "kuhonga".

Mimi nnaamini tunaweza kuwatumikisha wanaume kama ma "manager" zetu na wasifurukute zaidi ya kuchukuwa amri na kuwa wakututumikia daima, tujiamini tu.

Uwezo tunao, nyenzo tunazo.

Uwezo aliotupa Mwenyeezi Mungu ni mkubwa kwa mara nyingi zaidi ya wanaume, tumependelewa sana tu. Iliyobaki ni wengi wetu kufunguka na kujuwa kuutumia uwezo wetu.

We are The Queens and so we shall remain.
 
Kubakwa wapi...? Sasa wafanyeje ili kupata genya the same muda.. Afu ujue mwanamume hawezi mbaka mkewe... Sawa hizo mambo zenu za kijinga eti struggle how come unafanya mapambano kwa familia yako za kuambiwa changanya na zako...

Mwanaume hawezi kumbaka mkewe anaweza saaaana,

Za kuambiwa tumeshanganya na zetu tayari
 
Mmmh huyo mmeo.. huko ndio tunaitana kubakana kwenye ndoa kha...., sio muelewa kwakweli.. ye akichoka sawaa.. we ukichoka si sawa.. huu ni unyanyasaji
Pole mwaya..

Wanawake siku hizi mnadanganyana na hizo mnazoita haki.Kabla hujalaumu unapaswa kuelewa biologically kati ya mwili wa mwanaume na mwanamke ni nani yupo haraka kupata hisia?Hapo akikutafutia msaidizi wa kukusaidia utaanza tena kulalama.Hakuna kazi ngumu kama kulala na mwanamke kitanda kimoja huku unahamu na yeye anakuzingua eti kachoka, lakini nyie kwavile mnataka haki hizo haki mtazipata.
 
Mgirik

Kwahiyo kama nimechoka niseme sijachoka?Kwenda kutafuta mwanamke nje ni tamaa zake tu mbona mi nikiwa na hamu na yeye akisema amechoka namuelewa au na mie nikatafute mwanaume mwingine nje wa kumsaidia?Ila kulala kitanda na mwanaume huku ukiwa na nye.ge ndio kazi rahisi.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom