Siku ya wajinga, nilichofanyiwa leo

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2011
Posts
5,822
Reaction score
5,425
Saa ..12 asub nikasikia mlio wa sms katika cmu yangu.na ujumbe ulisomeka hvi!!
"washa radio eti wanatangaza ndege ya malaysia imepatikana ikiwa na abiria wote" niltingwa kinoma.nikaanza ku tune radio tofauti tofauti bila mafanikio.nikasema jf ndo kuna kila kitu ngoja nikathibitishe.nafika humu kila jukwaa nimesearch leo mpaka jukwaa la mapishi.dah kuna mtu si ndo akaongelea kuwa leo ni wajinga day
 
Atakuwa bado ana usingizi, akiamka atamalizia.
 
duuh hadi jukwaa la wabishi,haya malizia inaweza ikawa kweli imepatikana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…