Siku Ya Wababa Duniani (Father's Day)

Siku Ya Wababa Duniani (Father's Day)

Kazalisha wanawake kibao[emoji6][emoji6]..Ati wote hao walikua wakishndwana hhahaha..ukute yy ndo kivuruge
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kivuruge hawezi kujijuaa!
Alisema ako na nusu dozen eeh! Kila mtu na maza wake
 
Ingawa ujumbe wako una ukweli ndani yake, mi naona ni ujinga kwetu sisi waAfrica kuchaguliwa siku ya kumsherehekea Dingi na hawa wakoloni. Unafikiri hii siku ingekuwa imenzishwa na mtu mweusi wazungu wangei advitise? Baba yako mwenyewe inakuwa unachaguliwa siku ya kumsherehekea?
 
Back
Top Bottom