Huyo white alienyoosha mkono ndio Heaven on Earth? Amavubi umejiachia sana
HAHAAA wala hujakosea ni mimi mwenyewe
Mhm mbona mimi nilikuwa na wapiga picha?kabanga mimi nilikuwa nawaangalia #teambazazi akina Excel, Rogie. mayenga, kipajihalisi, Mentor, Asprin, Nicas Mtei , Kaizer, KakaKiiza, Erickb52 wakifanya mambo yao si unajua mi katibu nachukua minutes tuu siruhusiwi kushiriki kwenye matukio bana
kwani Mr Rocky ukiwa katibu wa bazazis nawe si ndio walewale tu.....au unaona aibu leo tumewamwaga hapa?
kweli umenichoka kaka yangu mm kuongelea kwenyewe hata sikujui
na wala shemejio hajawahi kunifundisha kuogelea
na huyo Asprin hajawahi kunikagua kabisa na anajui kwanini akufanya hivyo
sijui nifanyeje jamani marafiki zangu
basi una moyo jamaa....Kwa sheria wa;izojiwekea wao wenyewe kabanga, katibu haruhusiwi kushiriki kwenye tukio lolote yeye anakuwa mwangalizi tuu wa #teambazazi wasidhurike na achukue notice ya nini kinatokea tayari kukiwakilisha kwenye kikao na kuangalia performance ya kil;a mmoja na kutoa maksi ili atakayechemsha apigwe fine sasa haya yote huwezi kuifanya ukiwa na wewe ni mshiriki mkuu
:behindsofa::behindsofa::behindsofa::behindsofa::behindsofa:basi una moyo jamaa....
Kwani yule aliekua anatafutwa kipindi kile cha "kula bata" ameonekana?
Hiyo kama sikosei ni kwenye swimming pool ya Darlive humo watoto wa uswahili wanajazana kama kumbikumbi
anaonekane wapi besti
si amenitenda na la kusema mie
sitaki kukumbuka machungu hayo
sitaki kabisa acha niamue moja
kubaki na mzinga au mbonyeo
hee unawajua wewe au unawasema au umeshawahi kwenda maana ni jirani na :shock:
Pole sana ila usijali atakuja labda ni ubize tu
Nawajua watoto wa maeneo yale
haaa! ubize wapi ndugu yangu, nyie mnatuletea matatizo
sintokaa kuwaamini wanaume tena