nipe basi tekniko advise my friend..! uko radhi nipigwe infront of my wife?
Kwa ulivyokubuhu hata tekiniko advise haiezi kusaidia,
Unabambia kote kote kweli ww ni bazazi XXL
nmekutafuta sana we mwanawane!
hebu kuja tule ugali wa muhogo!
hahahahahhahaha ugali wa muhogo napenda sana tatizo umepikwaje mambo ya kulishana vibichi big nooooo
sasa sherii si ndo maana nimekuita chobis tupikiane haya madude bana!
wakati unapika, mi pembeni nina.. :violin:
hahahahahahahahah humjui eeeeh si yule handsome anaishi cc
mbona jina limekaa ki loss loss tu?
utaishi vizuri kweli huko?
ahaaa!!
kwa hio mimi nimekuwa mchanga eenh! iam no longer Excel eenh?
mwallu mbona umekuwa mbishi sana siku hizi?:argue:
wenye wake zao humu wawe macho na wewe asee...v day ulikua ni mkao,muogeleo,muongeo,mnyweo wa kibaza tu
hahahahaha bado nimemuweka kwenye open competitive tendering hajanyakua katenda ka kusaplai maloveeeee
fanya maamuzi sahihi now... excel wants to make you the second waifee!
mhhhhhhh kuwa second wife no kwa kweli mi natumia ile kanuni ya monopoly market
tunabishana eenh?
yaelekea ushabwia chaa arusha no hatubishani bhana bali napangua hoja tu
hahaaa!! haya bana! za jioni lakini sweetness?