mwallu
JF-Expert Member
- Sep 5, 2013
- 6,787
- 4,217
ahahah..nakuona apo uko na mdada alovaa top ya viua ua
wewe binti wewe....haya!
wewe binti wewe....haya!
Hapana hapo unakosea, usitoe hukumu hujui nini kimemtokea dada. Sisi ndio viumbe bora zaidi kwenu
usilolijua ni sawa na usiku wa kiza best
nilichokiandika ni sahihi kabisa best
wala sijahukumu mtu yeyote wewe huwezi jua
limpatalo mtu hulijua yeye mwenyewe na simwingine
nauona mkono wako ulivyoinua juu na manywele yako pia......
mambo sweetness!
kabanga mimi nilikuwa nawaangalia #teambazazi akina Excel, Rogie. mayenga, kipajihalisi, Mentor, Asprin, Nicas Mtei , Kaizer, KakaKiiza, Erickb52 wakifanya mambo yao si unajua mi katibu nachukua minutes tuu siruhusiwi kushiriki kwenye matukio bana
poa sweet potato
jamani umependeza...!
ahsante best, mie kupendeza ni kawaida yangu
Na upigwe tu!!!
Umezidii kuchangaza madawa!
MKUU kabanga WAPI HAPO?/MBONA DENSELY AND OVERLY POPULATED..
hii ni tuhuma kabisa...mie nilijilaza mchangani si kifuani kwako..hapa paroko wangu mpendwa asipaone kabisa
hahahahahahaha umeona eeeeh sijui mbizi walikuwa wanapigaje