Na ndio viatu vya kuchezea mpira hivyo...ukifanyiwa foul lazima unene kwa lugha.hiyo si mchezo aiseeee
Viatu hivo walividaka mnadani. Nahisi ni WA kutoka vijiji VA dodoma makao makuu ya Chama na serikali..
Mkuu unacheka? ebu mwangalie mchizi wa katikati then uniambie akikukanyaga mguuni inakuwaje...lazima MOI waombe excuse.[emoji23] [emoji124] [emoji23] [emoji23]
[emoji3] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu unacheka? ebu mwangalie mchizi wa katikati then uniambie akikukanyaga mguuni inakuwaje...lazima MOI waombe excuse.
Kuna walimu walikuwa na makusudi anakuja na chanuo kisha ankuchana nywele khalafu anajikoholesha kuonyesha kuwa zinatoa vumbi kama tractor linalolima mwisho anachukua mkasi anakunyoa mstari kati
Tulikuwa tunafupisha ukisema John watu werevu wanakuelewa ni sawa sawa kipindi hicho mtu akisema spinks unaelewa ni mtu mwenye mapengo kuna bondia maarufu alipigwa meno yakang"oka.naona kitu cha Travolta babkubwa
teh teh teh rombo/hai ya dodoma?Labda Rombo au Hai vijijini...
teh teh teh rombo/hai ya dodoma?
hai yetu watoto wote ni wajanja wako smart muda wote
mkuu wilaya ya HAI umetembelea vijiji gani?tuanzie hapoHaaaahahaha...Ndugu yangu mimi nimefika huko Hai na Rombo mpaka vijijini, mpaka kule kwenye mbuga na vijiji vya wafugaji nimefika...tehtehtehteh....mpaka kule kwenye mashamba makubwa makubwa nimefika....tehtehtehteh
mkuu wilaya ya HAI umetembelea vijiji gani?tuanzie hapo
Ulifika Rundugai, Longoi, Masama, Sanyajuu, Machame, Kwasadala, Maili sita?Haaaahahaha...Ndugu yangu mimi nimefika huko Hai na Rombo mpaka vijijini, mpaka kule kwenye mbuga na vijiji vya wafugaji nimefika...tehtehtehteh....mpaka kule kwenye mashamba makubwa makubwa nimefika....tehtehtehteh
Ulifika Rundugai, Longoi, Masama, Sanyajuu, Machame, Kwasadala, Maili sita?
tumetoka mbali........!!!!!!!! haya ndio maisha yetu aiseee...!!!!!!!!!!!