Siku ya usafi

Siku ya usafi

Ndugu yangu...wewe amini tu kuwa nimefika huko mpaka vijijini kabisa kule Hai...amini tu Ndugu yangu....sina sababu ya kudanganya....
teh teh teh teh sawa mkuu,ila naona haujanipa jibu yakinifu
 
Viatu hivo walividaka mnadani. Nahisi ni WA kutoka vijiji VA dodoma makao makuu ya Chama na serikali..
Huwa vina bei nzuri sana hivyo ukiwa na buku tu unadaka dundo fasta,nashangaa magu anataka kupiga marufuku hizo zana
 
Ahahahahaaaa nimecheka sana aisee ukichezewa kitemi hapo lazima wakubebe kwenye machela
Mkuu hakuna hata hiyo machela, muhuni akikupitia utachechemea hadi pembezoni mwa uwanja.Kumbuka dr. wa timu ni wewe mwenyewe kwahiyo itakubidi ujidiagnose mwenyewe na kujitibu mwenyewe.Damu ikionekana tu, maumivu yatazidi exponentially....Achana na utoto kabisa.
 
Hah a haha hahahahahaa we noma aisee
 
1472866943522.jpg
Huyu wa tatu mwisho chupi imezidi kaptula urefu [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Jamani tumshukuru Mungu Kwa Wale tulioipita hiyo level ya primary.
Wengi wetu maisha yalikua magumu Ila tulilidhika na kufanikiwa malengo
Yetu.
Wazazi/ walezi tuwajali watoto hasa hawa teenagers.
 
Back
Top Bottom