Siku ya uhuru ni hatari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siku ya uhuru ni hatari

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by king'amuzi, Nov 23, 2011.

 1. king'amuzi

  king'amuzi JF-Expert Member

  #1
  Nov 23, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 613
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  KUTOKANA NA JESHI LETU LA POLICE KUKIRI KUWEPO KWA AL-SHABAAB NCHINI NATOA RAI KWA WATANZANIA KUTOKUKUSANYIKA KATIKA SHEREHE HIZO TAR 9 DEC 2011,USHAHIDI WA HILI NI PAMOJA NA KUZUIWA KWA TAASISI AU CHAMA CHOCHOTE CHA SIASA KUFANYA MIKUTANO NA MIKUSANYIKO AMA MAANDAMANO KWA POLICE KUOGOPA MASHAMBULIYO HAYO;source: Kutokana na mwenendo wa jeshi la police Tanzani
   
 2. JamboJema

  JamboJema JF-Expert Member

  #2
  Nov 23, 2011
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,148
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Hawa Al shabab noumer...nashauri JK asikutane na akina Mbowe wasije wakavamiwa pia...huo mkusanyiko huo!
   
 3. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #3
  Nov 23, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,701
  Likes Received: 424
  Trophy Points: 180
  tushaanza kuviogopa vivuli vyetu.Nalog off
   
 4. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #4
  Nov 23, 2011
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Tumeanza kuona ni jinsi gani viongozi wetu wasivyokuwa na weledi wa mambo ya kawaida kabisa katika maisha ya kila siku,hivi anadhani al shaabab ni marobot?Ni watu kama sisi ambao wanadhibitika bila matatizo,sasa linapokuja suala la sisi kila siku kuambiwa al shaabab al shaabab huku tunaona matamasha,maonesho ya miaka 50 ikifanyika bila hao wanaoitwa al shaabab kufanya uhalifu wao.
  Kwa hakika wakizuia maandamano tuhamasishane kutokwenda kwenye sherehe za uhuru maana hata huko al shaabab watakuwepo.
   
Loading...