Siku ya Tatu leo Yupo kimya

Siku ya Tatu leo Yupo kimya

Mfungie vioo huyo mwanamke hata aandike jumbe ngapi usijibu, akikupigia usipokee, akija home kabla ya salam mwambie akupe muda wa kutafakari mambo yako ukimuhitaji utamtafuta na mwambie hutaki maswali na aondoke.
Siku mkijarudiana atatia adabu vizuri kbs
Hakika ndio nilivyowaza kufanya

CC Zero IQ
 
Nilikuja na uzi humu kuhusu mpenzi wangu ambae nilishapanga kabisa siku sio nyingi kama Mungu akipenda mimi Zero IQ niuage ukapela Rasmi niingie kwenye nyumba ya Ndoa,

Uzi wenyewe ni huu[emoji116]
https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/30885089

Nilikuwa nalalamika tu kwamba mpenzi wangu huyu aliniomba kiasi flani cha pesa kwa kuwa nilikuwa naumwa kama siku tatu sikutoka kwenda mishe nilimuomba anivumilie ile siku nilikuwa na nafuu kesho yake nitoke niende mishe Mola akijalia nitamtumia,

Ofcourse alinijibu vibaya kitu kama vile Sitaki kumtumia na wakati siku zote akiwa na Shida natatua kuanzia kula yake mpaka vaa yake lakini alishindwa kunielewa tu ile kosa ya siku moja,

Tuliacha kuchati mala pale tu niliposema sina hela na yeye kuona as if ninazo ila namnyima,usiku nilimtakia usiku mwema lakini hakunijibu,
Sasa Leo ni siku ya Tatu sijaona Call yake wala Sms ya salamu,

Na mimi nilivyoona hakuna jibu kwa ile SMS yangu ya Usiku mwema, nikaamua kukaa kimya till leo lakini inanishangaza sana,

Nimemtambulisha kila sehemu kuanzia kwa mama, baba mpaka ndugu zangu wa pembeni lakini she is no more now,

Hii hali inanifanya nianze kumchukia.

CC Zero IQ
Mkuu huyo ndio kiboko yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani mpaka sasa bado unamfikiria..

Aiseeh sisi wengine sijui tumeumbwaje, yaani ningekuwa mimi na namba nishafuta zamani ukipiga nakuuliza we nani. Hata kama naijua namba yako.

[emoji2398]troublemaker 2019. all right received.
 
Hapo hakuna dem man anakutumia tuu km daraja shtuka usisubir ushauri wa wana jf hum hahahaha itakula kwako et we endelea na kuwatusua tu mpk umpate wakueleweka achana na mambo ya kukurupuka tuu

Sent using IPhone X
 
Hakika mkuu nimeshalitoa wazo la kuoa sasa ngoja niendelee kuwatusua

CC Zero IQ
 
Hakika mkuu nimeshalitoa wazo la kuoa sasa ngoja niendelee kuwatusua

CC Zero IQ

Yaan hao ni kuwatomba tuu achana na habari kuoa sahiv kwanza hakuna mwanamke wa kuolewa wa namna hiyi bhana watafilisi genge lako la chips bureee [emoji41]

Naunga mkono hoja mwenyekiti wa mabachela naomba nisamehewe kwa kutaka kuwasaliti

Hahahaha yaan nilitaka kushangaa unaanzaje kutoka kwenye mautamu kama yoote vileee hahahaha kwanza huku huchungwi wala huli papuchi moja kama maharage ya jera[emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using IPhone X
 
Wewe Siyo Chaguo lake na Anamtu ambaye hata bila pesa Unampelekea Dudu wewe Unajipendekeza tu! Ukilazimisha hiyo Ndoa Utakuwa Mtumwa Milele Achana nae kabisa Hakufai Kutambilsha Siyo Tija Mimi Nilimrudisha Mshenga njiani Akielekea Ukweni kupeleka Barua ya Posa Na kila kitu nilikuwa nimenunua masufuria blanket cjui Vitenge na vingine Vingi Nikampigia Simu Mchumba Kumueleza Kuwa Jamaa Ndiyo yupo Njiani Kuelekea kwao Akanijibu Nyodo Balaa Nikajua kabisa hii si ndoa Itakuwa Ndoano Nikampigia mshenga Kuwa Usiende Huko Hivyo Vitu Vitunze Na hiyo Pesa Nusu nitumie Nusu Baki Nayo Usikubali Kupelekeshwa na Mwanamke wapo Wengi tena Wenye Uhitaji Was Mme.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikuja na uzi humu kuhusu mpenzi wangu ambae nilishapanga kabisa siku sio nyingi kama Mungu akipenda mimi Zero IQ niuage ukapela Rasmi niingie kwenye nyumba ya Ndoa,

Uzi wenyewe ni huu[emoji116]
https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/30885089

Nilikuwa nalalamika tu kwamba mpenzi wangu huyu aliniomba kiasi flani cha pesa kwa kuwa nilikuwa naumwa kama siku tatu sikutoka kwenda mishe nilimuomba anivumilie ile siku nilikuwa na nafuu kesho yake nitoke niende mishe Mola akijalia nitamtumia,

Ofcourse alinijibu vibaya kitu kama vile Sitaki kumtumia na wakati siku zote akiwa na Shida natatua kuanzia kula yake mpaka vaa yake lakini alishindwa kunielewa tu ile kosa ya siku moja,

Tuliacha kuchati mala pale tu niliposema sina hela na yeye kuona as if ninazo ila namnyima,usiku nilimtakia usiku mwema lakini hakunijibu,
Sasa Leo ni siku ya Tatu sijaona Call yake wala Sms ya salamu,

Na mimi nilivyoona hakuna jibu kwa ile SMS yangu ya Usiku mwema, nikaamua kukaa kimya till leo lakini inanishangaza sana,

Nimemtambulisha kila sehemu kuanzia kwa mama, baba mpaka ndugu zangu wa pembeni lakini she is no more now,

Hii hali inanifanya nianze kumchukia.

CC Zero IQ
She is no more!
Kafa?
 
Back
Top Bottom