Siku ya pili ya Tamasha la Utamaduni - Njombe

Siku ya pili ya Tamasha la Utamaduni - Njombe

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,773
Reaction score
1,174
Mgeni Rasmi katika siku ya pili ya Tamasha la Pili la Utamaduni Kitaifa, Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo waendelea Balozi Dkt. Pindi Chana leo Agosti 26, 2023 alikagua mabanda ya maonesho ya Utamaduni na Sanaa pamoja na huduma mbalimbali kutoka Taasisi za Serikali, Fedha na Wadau wengine.

Mhe. Chana ameongozana na viongozi mbalimbali kutoka Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakiongozwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Elimu, Utamaduni na Michezo Husna Sekiboko, viongozi wa mkoa wa Njombe wakiongozwa na Kaimu Mkuu wa Mkoa huo Kissa Gwakisa Kasongwa, Wakuu wa Idara za Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo.

Tamasha hilo la Kitaifa linalofanyika mkoani Njombe linaongozwa na kaulimbiu inayosema Utamaduni ni Msingi wa maadili, tuulinde na kuuendeleza.

IMG-20230827-WA0057.jpg
IMG-20230827-WA0056.jpg
IMG-20230827-WA0053.jpg
IMG-20230827-WA0050.jpg
IMG-20230827-WA0048.jpg
IMG-20230827-WA0052.jpg
IMG-20230827-WA0055.jpg
IMG-20230827-WA0056.jpg
IMG-20230827-WA0051.jpg
IMG-20230827-WA0054.jpg
IMG-20230827-WA0047.jpg
 
Mnatuvuruga Huku Kazimkazi Unguja
Mnataka Tuje Njombe
 
Jambo muhimu kwa sasa ni namna ya kujitoa kwenye mkataba wa kishenzi wa DP unaoliingiza Taifa utumwani.
 
Back
Top Bottom