siku ya leo...

siku ya leo...

B'REAL

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2010
Posts
4,582
Reaction score
3,272
dah!!waungwana ivi ushawai kuamka na kuhisi kama kuna ka mziki kana zunguka kichwani kuazia asubui,yani leo kuna kanyimbo kana run kwenye ubongo wangu toka na amka...kanaimba, wasi wasi wa mapenzi eeeh,nikaonekana mjinga tajiri kasimba,sasa uko wapi mamaa eeeh,tajiri tumetoka mbali mimi na wewe...tajiri kasimba....mara ya kwanza nime kuona nimekusame,mara ya pili nikakufuma ukanidangaya eti mjomba wako....haka kajimbo bend gani iliimba,siku njema
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom