Siku ya kweli aliyokufa Mwl J K Nyerere

Siku ya kweli aliyokufa Mwl J K Nyerere

ukweli hauwezi funikwa siku zote. Ni kama kuuzuia moshi kwa kawa.

Kama vile kuvuja kwa taarifa za mipango na utekelezaji wa kumwua nyerere kulivyokuwa, kisha kuibukia 2012 kwa uwazi zaidi. Ndivyo tarehe rasmi ya kufariki inapojulikana.

Nyerere alifariki tarehe 7 oktoba 1999.

Tarehe nyingine ni danganya toto. Ukweli unasema, huwezi kuwadanganya watu wote kwa nyakati zote. Ndicho serikali iliyoongozwa na b w mkapa ilichofanya.


sms read by tcra
 
it doesnt matter cha muhimu ni kuwa 1999 Mungu alimtwaa mtesaji wa Taifa hili .... Mungu amuweke anapostahili

Ukisikia jitu la hovyo lililoharibiwa na malezi ya wazazi, mvuta bangi basi ni wewe! Ni mbumbumbu la mwisho kabisa na naamini ulizaliwa kwa bahati mbaya kabisa!
 
Manyi tuambie wewe hatua za kifo inaonekana unazijua.
 
.............naongezea, walibugi wakaenda kuikarabati mortuary ya Muhimbili, kumbe maagizo ilikuwa ikarabatiwe mortuary ya Lugalo!

Hivi upumbavu aliousema mkapa ninyi wawili mnao mosi mwalimu alikua akiishi kwa msaada wa mashine. Hivyo wanaposema alikufa tarehe 14 oktoba wanamaanisha siku ambayo madhine ilizimwa kutengeneza barabara ilikua dalili kua mwl azingeweza kupona. Mtu akiwa anaishi kwa support ya machine ni operator anayeamua lini mgonjwa afe baada ya kushauriana na wanafamilia sasa huu upumbuvu uliilerwa hapa unechanganywa na ujinga wa mtoa uzi.
 
ni clinical au biological death?hiyo tarehe 7 inaweza kuwa ni clinical death yake,na tarehe 14 ni biological death

He was brain dead kiasi ya wiki kabla, lakini mashine ya kupumulia ilizimwa tarehe hiyo 14.

Nakumbuka nilikuwa UK kipindi kile na BBC ilikuwa inatoa taarifa kwenye website yao kuhusu hali yake.
Kwa bahati kipindi kile ni magazeti ya ippmedia pekee ndiyo ambayo tulikuwa tunaweza kuaccess kwenye internet na watz kwa asilimia kubwa hawakuwa na mtandao kwa hivyo wakitegemea habari kutoka vyombo vya kitaifa na magazeti ya nchini. Tulikuwa tunasoma kwamba nyumba yake ilikuwa inasafishwa na kupakwa rangi na watu wakijiuliza jee kunani?

Ila hilo la kupangwa kuuwawa mhhhhhhhhh! hivi mtu hawezi kufa kwa natural causes jamani?
 
Ukweli hauwezi funikwa siku zote. Ni kama kuuzuia moshi kwa kawa.

Kama vile kuvuja kwa taarifa za mipango na utekelezaji wa kumwua Nyerere kulivyokuwa, kisha kuibukia 2012 kwa uwazi zaidi. Ndivyo tarehe rasmi ya kufariki inapojulikana.

Nyerere alifariki tarehe 7 Oktoba 1999.

Tarehe nyingine ni danganya toto. Ukweli unasema, huwezi kuwadanganya watu wote kwa nyakati zote. Ndicho serikali iliyoongozwa na B W Mkapa ilichofanya.

Unanikumbusha machungu mengi. Wakati nchi imepoteza mtu wa maana, Sumaye alikuwa bize kupiga pesa katika kamati ya maafa. Ama kweli kufa kufaana
 
Aulizwe ben ndo mhusika mkuu,lengo lilikuwa kufanikisha uchimbaji,uwekezaji na kugawana machimbo ya madini kwa wageni ambapo mwalimu alikuwa kama kikwazo kwani alisimamia msimamo wake kuwa muda muafaka haujafika na hayaozi

Sasa wanaosema Mwl.alikuwa mtesaji wanataka kutuambia nini?
 
it doesnt matter cha muhimu ni kuwa 1999 Mungu alimtwaa mtesaji wa Taifa hili .... Mungu amuweke anapostahili

it matters my furendi, kwa nini kuwepo na mizengwe ya tarehe, kuna jambo hapo...tutafute.
 
it doesnt matter cha muhimu ni kuwa 1999 Mungu alimtwaa mtesaji wa Taifa hili .... Mungu amuweke anapostahili

Alimtesa nani, mamako,babako au wewe mwenyewe na kwa namna ganai? Funguka acha kulalamika na majungu kwa marehemu!
 
Angekuwa bado yuko hai au angekuja kufa tena miaka kadhaa mbele basi huu uzi ningeuelewa
 
Hivi ni nani alikuwa MC kwenye shughuli za msiba wa Mwalimu..??
 
Huyo Pukudu siyo Mtanzania,maana ktk nchi hii hakuna raia mwenye akili timamu anaweza kusema kauli ya kijinga kiasi hicho,kama si baba wa Taifa babu yake asingemzaa baba yake Pukudu na akapata japo elimu ya UPE iliyompa mwanga wa kuijua Tanzania tu na wala si dunia.
 
Back
Top Bottom