breki sifungi
JF-Expert Member
- Oct 15, 2014
- 694
- 409
kwa kawaida kufunka mavi kwa bakuri hua haisaidi kwan watu wakipga teke bakuri yatanuka tu.lkn mtoa mada hujaweka source
Wewe wasema ingawa hatujui unasema kama nani na isaidie nini? Majungu ni elimu ya mpumbavu siku zote. Hata kama alikufa hiyo tarehe yako unadhani itamfufua au kutuongezea lolote? Shame on you!
Matukio tata kabla ya Kifo chake kutangazwa:
Barabara ya kutoka Mgulani JKT na ya uwanja wa taifa hadi keko zilitengenezwa usiku wiki moja kabla kifo chake kutangazwa rasmi. Kigunge alipotoka Uingereza (kabla ya kifo kutangazwa) alikwenda moja kwa moja Butiama.
No research! No right to speak!
Ukweli hauwezi funikwa siku zote. Ni kama kuuzuia moshi kwa kawa.
Kama vile kuvuja kwa taarifa za mipango na utekelezaji wa kumwua Nyerere kulivyokuwa, kisha kuibukia 2012 kwa uwazi zaidi. Ndivyo tarehe rasmi ya kufariki inapojulikana.
Nyerere alifariki tarehe 7 Oktoba 1999.
Tarehe nyingine ni danganya toto. Ukweli unasema, huwezi kuwadanganya watu wote kwa nyakati zote. Ndicho serikali iliyoongozwa na B W Mkapa ilichofanya.
hahaaa...hiki kichekesho,yani watu wanatumia kigezo cha Komba kutunga nyimbo fasta baada ya kifo cha Mwalimu kuidhinisha eti alikufa kabla ya tarehe 14.Jamani njooni concrete arguements ndio tupime kama inawezekana kweli Mwl alikufa kabla ya tarehe 14 na pia kama alikufa natural death au kazi ya muumba.Tofauti na hapo hizo zote ni porojo tu.
Ukweli hauwezi funikwa siku zote. Ni kama kuuzuia moshi kwa kawa.
Kama vile kuvuja kwa taarifa za mipango na utekelezaji wa kumwua Nyerere kulivyokuwa, kisha kuibukia 2012 kwa uwazi zaidi. Ndivyo tarehe rasmi ya kufariki inapojulikana.
Nyerere alifariki tarehe 7 Oktoba 1999.
Tarehe nyingine ni danganya toto. Ukweli unasema, huwezi kuwadanganya watu wote kwa nyakati zote. Ndicho serikali iliyoongozwa na B W Mkapa ilichofanya.
Yaani unataka tukuamini kirahisi rahisi namna hiyo kwa jambo zito kama tarehe ya kufa baba wa taifa?
Leta ushahidi tujadili.
Wazee wa kwao Nyerere huko Butiama walijua kuwa Nyerere kashafariki zamani ila wakawa wanashangaa kwa nini Mkapa hatangazi, ......walijuaje?....Maziwa yaliyokuwa kwenye chungu yaliganda mapema kabla ya tarehe 14, kwa mujibu wa mila na imani za kwao maziwa hayo ndo yalitoa matokeo ya kifo cha nyerere.
ni clinical au biological death?hiyo tarehe 7 inaweza kuwa ni clinical death yake,na tarehe 14 ni biological death
Im not a doctor, but what I know as far as death is concerned, the dead body shall be declared dead by a qualified Doctor,who after clinical test and confirmation h/she will write a DEATH CERTIFICATE stating the cause of death of the deceased, date and time.
Swali linakuja, hiyo Death Certificate ya Mwalimu iliandikwa kafa lini na kilichosababisha kifo chake??Huwezi kusafirisha au kuzika a dead body bila cheti cha kifo ambacho kinaeleza chanzo cha kifo. Sasa wewe mleta uzi tujuze kama kile cheti unacho au umewahi kukiona mahali pengine Mwitongo,Butiama au kule ST. THOMAS alikofia marehemu.........!!!