balaa hilo mkuuSi unaona hapo Exit natembelea hadi viganja
Hii ni gym au Guantanamo bay?
Leo ume miss your positionulikomeshwa nini mkuu
Comrade......ulikomeshwa nini mkuu
Hakuna ushauri hapa zaidi ya huu....[emoji13] [emoji13] [emoji13]Nataka kuanza kwenda Gym embu ushauri wenu..
nimekutunuku ka likeComrade......
Kuona is a must, lakini Kutazama is a choice.
Ebu tazama vizuri tofauti ya entry na exit......[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Si useme tu siku ya kwanza kuingizwa gesti!
Niliiona sana..itakuwa walimkomesha aseeComrade......
Kuona is a must, lakini Kutazama is a choice.
Ebu tazama vizuri tofauti ya entry na exit......[emoji12] [emoji12] [emoji12]