Baada ya kusikia story za uzushi mwingi kuhusu bangi nikashawishika kujaribu kuvuta nione kitakotea nini.. Nakumbuka ilikuwa jion nikaenda zangu kitaa nikaenda kununua ya buku 2.
Nikarudi nayo home ni nikanyonga nikavuta wee sikuona chochote nikaihc ila itakuwa fake...baada ya wiki nikabadilisha kijiwe cha kununulia nikinyonga nikavutaa we lkn hakuna kitu...nikajaribu tena na tena nikaona ni uzushi tu na wengine wanao iongelea bangi kwa mabaya ni wale ambao hawajai kujaribu hata kuvuta!!!
Nb: mkipata bangi inayowatia watu maruheruhe mniite na mm nivute niyaone