TANMO
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 12,046
- 12,542
Siku moja nilienda dukani, nikakutana na mrembo anayeuza hapo dukani, nikawa naona aibu kusema nataka kununua condom, akagundua mwenyewe na kuniambia unataka Salama eeeh?
Nikasema ndiyo, akaniambia unataka pakiti ngapi? nikamwambia mbili yenye condom tatu kila moja (jumla condom 6), aliniona sijawahi ku-do, akaniambia unafahamu kweli jinsi ya kutumia Salama? nikamwambia hapana, akafungua pakiti na kuifungua salama moja, akaanza kunionyesha jinsi ya kuvalisha, akaanza kuivaalisha kwenye kidole chake cha gumba na kunieleza kwamba unavalisha hivi.
Alipoona bado nashangaa tu, akaniambia hivi ulishawahi kweli kusex? nikamwambia hapana, sijajaribu hata mara moja, akaniambia njoo ingia humu nyuma ya shelfu nikuonyeshee jinsi ya kutumia salama, akafunga mlango, akaniambia nivae kama alivyonielekeza, nikaanza kuvaa, duh si akalala chali, akaniambia fanya hivi na hivi, baada ya up and down kama kumi nikasikia kitu hicho tse tse tse tse tse tse,tse. Akaruka juu na kunisukuma na kusema ""weeh! mbona nahisi unyevu flani umevaa kweli salama?
Nikamwambia nimevaa kwenye kidole gumba kama ulivyonielekeza.
Sasa ni wiki ya 3 anasema anahisi ana mimba yangu. Jamani nifanyaje maana hata sijapanga kumwoa!
Kwa Hisani ya Watu wa Fesbuk..............