Tanganyikana
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 1,160
- 364
Daah m nashukuru shoga angu wa karbu sana alikuwa anauza dukani kwake, hvyo nilikuwa cpati kaz. nilikuwa naenda nazichukua tu kwenye boks kisha nampa ela yake thn nasepa.. Ilikuwa simpo sn!!
Na usijaribu,kwasababu mshahara wako wote utaishia huko kisha ufe masikini. Ni bora hizo hela ukahonge au ukajengee nyumba
Kumbee... wale masikini wote ni wateja wakubwa wa kondom.
Ni kweli mkuu,Condom zimewarudisha watu wengi nyuma sana kimaendeleo.
Kwani zina nini na zinauzwaje?
Mimi mpaka leo siwezi kununua Condom kukiwa na watu karibu. Na atakayeniuzia condom kama ni mdada nitamwonea aibu.
dah ww jamaa humtakii mema mkuu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Analyse
Sasa wewe unatumia condom halafu unajiita kweli Mwanaume au Shujaa? Mwanaume asiyetumia condom katika tendo lolote la Ndoa hata uwezo wake wa KUFIKIRI ni MKUBWA, MZURI na ULIOTUKUKA kushinda wale wanaopenda kutumia ambao 99.999% huwa ni GOIGOI KICHWANI na hata Tendo lenyewe HAWAJUI KULIFANYA IPASAVYO. Kweli Wewe POYOYO yaani ujanja wote huo kumbe UNATUMIA condom? Umeniangusha na kunipandisha sana hasira kwani kwa kutumia kwako condom UNATUKOSESHA viongozi Wazuri wa baadae wa Taifa hili hasa baada ya Dr. Magufuli kumaliza ngwe yake hapo 2025.