Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,889
- 35,950
AiseeKidoti kujiuza kumemlipa jamani. Alikuaga anajiuza Corner bar nikawa namwambiaga mbona we mzuri kwanini unajiuza anasema sasa nisipojiuza nitafanya shughuli gani mjini. Kila week alikuaga anadeposit mpesa kama laki 4. Anazituma kwao anawajengea wazazi wake nyumba. Mungu kamuona maisha kayapatia maana kuuza papa sio kazi ndogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna pesa ya bure[emoji23]Kama kupenda kuhongwa hata mimi naweza kuvolunteer uniachie tu mwili wangu. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wanamla kwa lakiHuyu alkua mteja kazini kwangu tulizoeana hadi tukawa marafiki, nkamkopesha losheni akawa anazingua kulipa, siku moja akaniambia niende home kwake anipe ela yangu (alkua anaishi mwananyamala kipindi hicho) kufika kajiachiaa na vichuchu vyake vile uzalendo ukanishinda tukafanya yetu tena kavu (ckua najua kama ni muuza K) hata hela ya loshen sikukumbuka kudai, siku mbili baadae nkamkuta ambiance kajianika hata sikumshtua, nikawa namchora tu akija ofisini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haliwi kwa laki. Analiwaga elfu 50 au 80 inategemea na makubaliano. Kwa siku akilala na watatu inakuaje? Hapo bado kuwaibia wateja. Alishawahi mpiga mtu dollar 600Watu wanamla kwa laki
Ww umemla kwa elfu 10 ya rosheni. Hongera mkuu[emoji23] ulijiongeza aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh [emoji23] watu hawana aibuEeeh. Mteja alimchukua masaki akampeleka kwake Magomeni. Akamwambia atamlala na hatampa hata kumi. Mwenyewe anasema hajui ilikuaje huyo baba akamuachia. Anasema hii kazi ina hatari ila ndo tulikataa shule na familia zinatuangalia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Alkua friend angu sana, nilimzidi akili pale home kwake akaona anipe ili asilipe deni la elf12Watu wanamla kwa laki
Ww umemla kwa elfu 10 ya rosheni. Hongera mkuu[emoji23] ulijiongeza aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha daresalamu tamu sana aiseeAlkua friend angu sana, nilimzidi akili pale home kwake akaona anipe ili asilipe deni la elf12
Sent using Jamii Forums mobile app
Alikutaka tu bwana. Hana shida ndogo eti. Alikutamani akaona akukope akuvute kwakw kirahisi.Alkua friend angu sana, nilimzidi akili pale home kwake akaona anipe ili asilipe deni la elf12
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh kumbe cheap hivo hata mtoto wa o level anaweza nunuaHaliwi kwa laki. Analiwaga elfu 50 au 80 inategemea na makubaliano. Kwa siku akilala na watatu inakuaje? Hapo bado kuwaibia wateja. Alishawahi mpiga mtu dollar 600
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mtuu anaejipanga ambiance anaweza akauza kwa laki kweli? Labda sasa hivi kaacha ila alikua anajipanga ambiance mteja akija ile kujipitisha nini.
Itakua hivyo ila mi kabla nilihisi alinipa sababu namdai, lkn baadae nkaja gundua sivyo, damu zetu zilielewana sana, siku nilintania nna hamu ya bia ela sina akanirushia 15 akasema anajua sijakosa basi tu nataka nile ela yake tu. Hakuwahi hata kuniomba ela hata akija alkua hakopi.Alikutaka tu bwana. Hana shida ndogo eti. Alikutamani akaona akukope akuvute kwakw kirahisi.
Sent using Jamii Forums mobile app