BABA TUPAC
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,533
- 3,840
DuhNI GAZETI, UKITAKA KUSOMA SOMA, HUTAKI WACHA
Siku ya kwanza job ilikuwa 2011 enzi za kikombe cha babu kimepamba moto. Sasa ile ofisi ilikuwa na wafanyakazi at manegerial level wanne pamoja na CEO. Hao seniors wote watano walienda kunywa kikombe cha babu arusha weekend ya ijumaa wakiamini mpaka jumatatu ya next week watakuwa wamesharudi ofisini.
Sasa bhana team ya watu wanne kutoka kwenye moja ya shirika la canada ambalo ni mmoja wa mfadhili mkubwa wa miradi ya ofisini kwetu walikuwa wanakuja kufanya monitoring pale ofisini siku ya jumatano ya next week ambapo wale walioenda kwa babu wakitegemea wangewahi.
Mimi nilireport jumatatu ya hiyo wiki ya wageni. Nimefika pale job nimepokelewa na secretary ambaye alikiwa amenitangulia kama mwezi ofsini pamoja na junior wengine kama sita hivi, ila mabosi hawapo. Kumbe wale wageni walilpata udhuru na hivo wakaomba waonane na viongozi siku hiyo mm nareport ila mchana. Nafika pale kama saa moja na nusu asubuhi nakuta secretary ametingwa maana email za ule ugeni zimemchanganya na kule samunge jamaa wamekwama kwemye msafara wa foleni na hakuna hata mawasiliano.
Mm nikamuuliza then akanipa situation. Nikamuomba nisome hizo email conversation za wageni na mabosi, mana yeye alikuwa kwenye email list. Akanionesha. Nilivoperuzi vzr then nikaja kuona ni vitu gani walibokuwa wanahitaji kupata report zale. Ikabidi niwaombe wale juniors wenzangu kama kuna report zozote tuzisome then walau wakiuliza tujikanyage kanyage ivo ivo. Wale jamaa japo walisita sita ila badae wakakubali.
Huwezi amini tulipitia zile teport za mwaka fastet faster na tukaokoa jahazi.
Wale wageni wakasepa. Baada ya siku tatu wakaleta feedback kwamba wataendelea kusapoti project zetu pale tena sapoti kubwa zaidi..
Wale jamàa tulikuja kupata mawasiliano yao baada ya wiki, walikuwa wamepagawa balaa. Ila walipojua tumerescue jahazi CEO aligurahi sana. Alipokuja kujua role niliyoplay mpaka kurescue huwezi amini alianza kunichukia na kwenye ile kazi sikudumu. Nilifanya miezi mitatu tu barua ya probation ilipotoka nikaambiwa unqualified dadeki. Nikatoswa.
Ila badae mmoja wa wale managers alipata shavu ofisi nyingine ya wajerumani akanitafuta na kunipa shavu la kitengo fulani nikapiga kazi amaizing kwa miaka minne ambayo ilinipatia CV ya maana sana. Najua mtakuwa humu mabosi zangu kama mnanisoma mtakuwa mmenielewa ila sio ishu kwani sina thread za majanga humu jf. Big up bro eric ulienivuta kule kwa wajerumani kwa kutambua potential niliyokuwa nayo wakati nipo junior.
Bongo nyoso. Unakomaa kuokoa jahazi ukiwa sehemu ya kampuni alafu raia wanakulamba kichwa.NI GAZETI, UKITAKA KUSOMA SOMA, HUTAKI WACHA

Bongo hatar sana ukiwa na uwezo mkubwa.NI GAZETI, UKITAKA KUSOMA SOMA, HUTAKI WACHA

Hili ni Gazeti lakini lenye maana kuliko magezeti yenyeweNI GAZETI, UKITAKA KUSOMA SOMA, HUTAKI WACHA

Kweli bongo kichwa cha mwendawazimu [emoji1787]NI GAZETI, UKITAKA KUSOMA SOMA, HUTAKI WACHA

Yaani mtu kaenda kunywa kikombe cha babu halafu asiwe na roho mbaya, never!NI GAZETI, UKITAKA KUSOMA SOMA, HUTAKI WACHA

Boss alikuogopa,aliona kabisa unaenda kukaa kwenye kiti chake.NI GAZETI, UKITAKA KUSOMA SOMA, HUTAKI WACHA

[emoji3]Niliingia na hangover kwa kuwa siku iliyopita ya jumapili nilikuwa napiga mtindi jumatatu nikaamkia kazini kureport kwa mara ya kwanza kumbe huwa wanavifaa vya kupimia kama umeutwika yaliyofuatia baada ya hapo hayafurahishi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Niliingia na hangover kwa kuwa siku iliyopita ya jumapili nilikuwa napiga mtindi jumatatu nikaamkia kazini kureport kwa mara ya kwanza kumbe huwa wanavifaa vya kupimia kama umeutwika yaliyofuatia baada ya hapo hayafurahishi
Hivi ni kwanini haya mambo Ofisi za Kibongo yanatokea sana?Boss alikuogopa,aliona kabisa unaenda kukaa kwenye kiti chake.
Viongozi wengi wanaamini kwenye ushirikina kuliko utaalamu, walikuogopa wakijua utawapindua kiuchawiHivi ni kwanini haya mambo Ofisi za Kibongo yanatokea sana?
Mameneja wote wapo samunge wanakunywa kikombe 😆😂🤣NI GAZETI, UKITAKA KUSOMA SOMA, HUTAKI WACHA