Zekidon
JF-Expert Member
- May 29, 2013
- 1,903
- 569
- Thread starter
- #21
mkuu mimi huwa napenda kupata authority katika kila statement yangu ninayotoa, hivyo basi with that respect, sijawahi kuona mahala uchunguzi wowote iwe wa kisiasa, kisayansi au kidini uliobainisha ku angozi nyeupe ni BORA kuliko ngozi nyeusi, hli sijawahi ona, kama umewahi ona ndugu yangu bsi tushirikishane..[/QUOTE
Na vp utafiti wa kinyume cha hapo juu umewahi m
Kuuona? Km hapana basi binadamu wote tu sawa mbele za mwenyezi Mungu...
binadamu wote ni sawa mkuu, hakuna mwenye kichwaa tumboni, au makalio kichwani