Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,286
- 10,831
Shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) linaitumia siku ya Desemba 3 kama siku ya kimataifa ya Watu wenye Ulemavu
Siku hii iliazimiwa mwaka 1992 ikiwa ni siku ya kuangalia namna ya kuwawezesha walemavu na kuwashirikisha kwenye mambo ya kijamii
UNESCO imeandika katika ukurasa wake wa twitter kuwa ‘ Kuwa na Ulemavu sio kikwazo. Unahitaji kujiamini na kuziamini ndoto zako’
Mkurugenzi Mkuu wa UNESCO, Audrey Azoulay ametoa wito kwa jamii zote kujumuika na kushirikiana na watu wenye ulemavu ili nao wachangie kizazi kipya chenye fursa mpya