Siku ya Kifo Changu

Bro hautojua,, utabaki kopo tu watakubeba wanakupeleka machame kwa maziko na mbege watakunywa
 
Bro hautojua,, utabaki kopo tu watakubeba wanakupeleka machame kwa maziko na mbege watakunywa

Hapana Kaka kukiuka masharti ya Mtu aliyekufa kama yanatekelezeka
 
Hio project ya depopulation inasimamiwa na nani, naomba kujuzwa
 
Kuwa na huruma
 
Mimi najua ipo siku nitakufa Ila Kila siku namuomba mungu niondoke duniani kwa mwisho mwema.
 
Why hujavutiwa ? Did you take sometimes to
Understand their faith ?
A lot of my time hua nasoma vitabu vyao but i'm not interested with what they believe
 
Pole. It is the Naked truth . The good thing is you won’t feel any pain, the people you left will ....
"You won't feel pain " umeshawahi ku-experience kifo?
Umejuaje hakuna maumivu? Wakati wakufa na baada ya kufa?
 

Why wamsuse mke wao. Yaani upande wa baba ususe maiti ya mke wa baba?
 
"You won't feel pain " umeshawahi ku-experience kifo?
Umejuaje hakuna maumivu? Wakati wakufa na baada ya kufa?

You are right, and the best answer is I don’t know, you don’t know, no body knows
 
Unashida Kichwani wewe si bure.
Pole.

Ninakuomba tena mawasiliano yangu na wewe kwa English hapa. Kama hilo jibu unalotoa libadili kwa English tusonge mbele . Mbona maisha ni marahisi Mjomba. Kumbuka wewe ni MTZ
 
Ndugu yangu,
Vipi kuhusu hiyo chanjo? Ni ya kuiamini?

Ifanyiwe Feasibility study kabla ya kuanza kutumiwa. Tunataasisi mbalimbali za ubora na Medical laboratory analysis

Kwa kukusaidia, Chanjo Maana yake ni Virus vya Corona vilivyopunguzwa nguvu vinaingizwa kwenye mwili wako ili mwili wako ukazalishe kinga ya mwili ambayo itakuwa ni long term protection.

Wakati mwingine kwa watu wengine vaccine ina react, yaani Yule Virus alieingizwa in your body anaenda kuwa strong na kuanza kuwa harmful. Kama ile Vaccine ya Influenza kwa ajili ya mafua, walikufa watu wengi waliochomwa hasa huko Africa Magharibi. Kwa Sababu yule Virus alikuwa na tabia ya kubadilika ndani ya miili ya baadhi ya watu kitu ambacho Manufacture, Na Medical Researchers hawakujua. Baada ya kutokea Hayo ndio wakaanza kufanya maboresho. My Prof. Pia alikufa kwa Influenza Vaccine . Baada ya kuchomwa tu akapata Shock Anaphylactic and she died.

Naungana na Rais JPM ya kwamba, kwa kuwa Hii ni Vaccine Mpya na hatujui Adverse Reaction na hakuna post surveillance yoyote iliyofanyika, tusikimbilie bali tuendelee kuchukua tahadhari kwanza mpaka pale itakapothibitika kitaalamu kuwa haina madhara yoyote.
 
Kwa kweli alichokisema raisi ni kama tahadhari, kwa namna wala sio kuikata chanjo moja kwa moja, ata hao wazalishaji taarifa imewafikia wa tengeneze kinga bora,
Binafsi iyo chanjo ikija nitaikwepa.
 
"Do you afraid....."
"I am afraiding....."

Hiki Kiingereza cha hivi wenzetu mlifundishwa na walimu wa wapi?
ambao walifundishwa na nani aliefundishwa na nani na wapi?
Lazima udhaifu huu ilianzia chini ukalelewa.

Argrrrrr!!! kichefuchefu😕

nacheka lakini iam afraiding
 
Ninakuomba tena mawasiliano yangu na wewe kwa English hapa. Kama hilo jibu unalotoa libadili kwa English tusonge mbele . Mbona maisha ni marahisi Mjomba. Kumbuka wewe ni MTZ

Ca ce'st n'importe quoi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…