Kifo kinaogopesha sana, ukitaka kuua hata mende anakimbia Kwa mbio zake zote. Binadamu anakiogopa sana kifo na hata hakizoeleki. Lakini kuna tumaini yuko aliekishinda kifo ingawa hata yeye alipitia kipindi cha hofu na kigumu mpaka jasho la damu lilimtoka. Mtafute soma habari zake , hakika atakuonyesha njia ya kupita. Kwani maisha yote ya binadamu ni maandalizi ya safari moja tu.
THINK TWICE.I agree with you. Jinsi ambavo tunachinja wanyama na kuwapika, ni the same thing kwa mwili wa binaadamu.
Ukishakufa Una kuwa ni mzoga au mti mkavu. You don’t feel anything just a dead body. Ndio maana kuna sehemu Madagascar they eat dead body, they cook as meat and sauce for rice or ugali. They say kiti moto haingii ndani kwa utamu.
pia ignorance yetu kwenye Death , wahuni nao hawakuwa nyuma kututisha ili watutawale vyema.
Ooh ukifanya Hivi utachomwa moto , utaenda peponi au motoni. Huyo Mungu awachome watu kwa kosa gani , kwanza uhusiano wa muda wa kuishi Na kufa Na adhabu itakayokuja kutokewa haina USAWA.
Yaani small life,.... Big death. There is no such a GOD , it is our projection ambayo haina uhalisia . Imagine wewe unaingia peponi and your mom anaenda motoni , would you feel Happy , as for me I won’t be happy kuona mm nakula bata then wenzangu wanakula shubiri kwenye joto .
Kama kweli kwako utaona ni Okay kuona binadamu wenzio wanachomwa moto
Huku ww unakula bata , and that makes you feel okay , basi jua unamtumikia shetani ( kwa maana iliyozoeleka, maana hata shetani hatujui ni kitu gani) hapa duniani.
There is no such a God.
Kwanza historically hakuna mtu aliyeenda Na kurudi akatupa feedback, Jibu sahihi ni kwamba hakuna anayejua chochote kitu what will happen when we die. No pope, no saint , no any prophet.
We are all ignorants
Full stop
Kama ulizaliwa kufa ni lazima. Una bahati kama bado babu yako yupo hai. Hujiulizi alienda wapi?? Jiandae kufa na andaa maziko yako usije tuletea taabuWatu mko serious.
Nimecheka sana mkuu,.Wanichome kama Wahindi nione siku ya mwisho nitarudije
Kifo ni hatua katika maisha ya kiumbe hai. Hata miti inakufa, Kwa hiyo hauwezi kukishinda kwa kutokufa ila ni kujua hatua gani ufanye uweze kujiandaa nacho. Sidhani kama wewe uko tayari kupokea majibu tutayokupa.Kukishinda kifo ni Kutokufa. Tuoneshe hapa huyo aliyekishinda na je amewasaidiaje na wengine kukishinda?
Kifo ni hatua katika maisha ya kiumbe hai. Hata miti inakufa, Kwa hiyo hauwezi kukishinda kwa kutokufa ila ni kujua hatua gani ufanye uweze kujiandaa nacho. Sidhani kama wewe uko tayari kupokea majibu tutayokupa.
Acha maneno makali mkuuWatu walivyo waoga wanaogopa hata kukomenti.
Kufa utakufa tu ndugu whether you like it or not!
Hahahaaa nicheke mie.For as long as wewe ni Mtanzania, I guarantee, you can not speak it and your English must be horrible.
you don’t have that tongue. If you think you are good at it, kindly, our chatting should be in English here. And let’s gauge each other, otherwise, you are just a piece of ass screaming all along!
Hahahaaa nicheke mie.
Kwahiyo Watanzania hawajui 'Kiinglishi'?
Huenda, ila chako wewe mkuu kwa heshima zote ni-cha kutudhalilisha kabisa 😉
Hiyo mikazo:
1. Si nia wala dhumuni langu kujishindanisha, si wewe tu bali hata yeyote yule mwingine, haina Tija kwangu.
Hoja yangu umetaka kulisha watu Matngo pori, tumekustukia na huna chakujitetea.
2. 'you....'? Mwalimu gani anafundisha ujinga huu? Hapana huu ni uzembe wa mwanafunzi. Hili ni somo la muandiko darasa la Tatu.
3.'Tongue' ? Hapa? Kweli? Otateee naneeee! Ni hakika kuwa hujui maana yake vinginevyo, usingekurubia hata kuliandika hilo neno, pole.
4.'Kindly, kisha 'Should' katika muktadha mmoja? Kweli?
Hujui kutofautisha kati ya kuomba ihsani na kushurutisha? Msomiiii!!
5. Hilo Tusi haliniunguzi kwakuwa Nia yangu ni njema ya kuokoa kizazi kinachodhani kinajua kumbe hakijui.
Hunijui, usilazimishe kunijua haitakusaidia chochote itoshe tu unishukuru hata chemba kuwa nakusaidia Msomi.
Nikutoe wasi mimi si msomi lakini ninapoona Msomi 'unabananga' inaniuma na hasa ukizingatia mitandao inasomwa na wengi kwahivyo ukijinadi wewe ni msomi na unajua sana lakini unadhihirisha mapungufu ya wazi haitii aibu tu inachefua vilevile.

Mnaongelea kifo kama kitu simple sanaWhy ni Uzi wa kipumbavu ?
Fafanua
Kifo ni matokeo ya uasi wa mwanadamu
Rejea vitabu vitakatifu mfano mzuri ni Biblia
Soma Mwanzo sura ya pili yote then utapata majibu.
Kama kuna swali uliza.
Soma maandiko matakatifu utapata uelewaKifo ni kitu cha kawaida hakina uhusiano na dhambi