Mk54
JF-Expert Member
- Dec 29, 2016
- 1,996
- 3,958
Baada ya kuhudhuria mafunzo ya FBI na China-MSS, nilielewa kwamba binadamu yeyote mwenye AKILI kubwa ni lazima ailazimishe akili yake kukikubali KIFO.
-
Tukiwa na training team ya China MSS, swali la kwanza kuulizwa ni; " Do you fear death ?
Yes!
-
Tulijibiwa kwamba How could that possibly be , you fear something that you never had any experience before? is there any person in all our recorded history ever experienced The Go and Return ? They asked
-
Wakatuambia, ili mjifunze haya mliyojia and to serve the world as well as the state; you guys have to accept death as the matter of TRUTH.
-
It is one of those days I came to realize that many people have been dying without living the life . Ni wachache sana wamefanikiwa kufunua BUSWATI na PAZIA ili kuona the glimpse of life. Kibaya zaidi haya mambo you can not be taught. Verily, you have to check it by yourself.
-
Siku ya KIFO Changu
1. Sitotaka mwili wangu kusafirishwa kupelekwa Kilimanjaro Unless nimefia NAMIBIA, kitu ambacho siamini hivo, siku zangu zikikaribia, for sure I will know, nitarejea nyumbani. Nitapenda kuzeekea Dar es salaam, mji ambao ninaupenda sana.
2. Nimefungua death account kila mwezi naweka dola 100 kwa ajili ya kugharamia maziko yangu, hata hivyo, nimetoa tahadhari maziko yawe ni ya gharama ndogo kabisa ikiwezekana yasizidi laki 3 za kitanzania. Pesa zitakazobaki isipelekwe kanisani wala msikitini, ipelekwe kwa binadamu wenye uhitahitaji wa chakula na Malazi, wagonjwa wa kansa ambao dawa zao ni ghali sana.
3. Siamini katika Matanga, and I totally discourage watu kunikalia Matanga, sijawahi kuona umuhimu wa hili zoezi, zaidi ninaona ni sehemu ya umbea na majungu ya kujadili mambo yasiyowahusu.
4. Ndani ya masaa saba tangu kuiaga dunia niwe nimeshafukiwa, asisubiriwe mtu yoyote kwa sababu haitobadili ukweli, kunichelewesha ni kufanya niendelee kuoza na Kutoa harufu. Sitaki mtu asikie harufu ya mwili wangu wa kuoza, na wala sitopenda kuwekwa dawa ya ku stop decaying process. ( Formaldehyde).
5. Kaburi langu lisijengewe wala kuandikwa jina.
6. Nisivikwe nguo yoyote zaidi ya kitambaa kitakachohifadhi tupu zangu.
7. Pombe na Ulevi haviruhusiwi kwenye maziko yangu. Wala sitotaka watu wavae nguo nyeusi. What the hell na nguo nyeusi. Watu wavae mavazi waliyoyazoea na ya kawaida
8. Sitopenda nyimbo zozote zipigwe wala mtu yeyote kuimba. It is the moment of silence to honor my existence
9. Haitoruhusiwa Kulia. Kwanini ulie? Kwani hukuwahi kujua kwamba tumezaliwa ili tufe, jiandae kwa sababu for sure Utakufa.
10. Ndugu yoyote hausiki kwenye Mali zangu kwa namna yoyote ile, mali zangu ni za watoto wangu na mke wangu tu, I have documented that on my diary, Bank accounts and legal issues.
-
Je, siku ukifa, ungependa vitu gani usifanyiwe kwenye maziko yako? na je ungependa ni nani awe mrithi wa mali zako?
Thank you and Rest In Peace to all the humans who have stepped into the truth of death. To all the humans who Have died due to Covid-19, and for those who continue dying due to COVID -19.
Chukua Tahadhari. Akili za kuambiwa, Changanya na zako.