Siku ya kesho naiona kama mwisho wa dunia, Siwezi hata kuiwaza Jumatatu

RobyMi

JF-Expert Member
Mar 4, 2012
848
862
Watanzania wenzangu yaan kila nikijaribu kuifikiria siku ya kesho siion jumatatu,

Siku ya kesho ni kama mwisho wa dunia

Siku ya kesho imebeba miaka mitano

Siku ya kesho ni siku yangu mi na wewe ya kuamua muktakabadhi wa Tz yangu na wewe

Watanzania tusifanye makosa, tukapige kura

Mungu ibariki Tanzania
 
Back
Top Bottom