Haya mambo Mshana Jr anajua kuyachambua vizuri, watawala wa dunia hii kuna mambo makubwa huyafanya kakika ulimwengu wa kizaKumbe matukio muhimu yote kwa bwana mkubwa yule ni alhamisi?!!
Haya mambo Mshana Jr anajua kuyachambua vizuri, watawala wa dunia hii kuna mambo makubwa huyafanya kakika ulimwengu wa kizaKumbe matukio muhimu yote kwa bwana mkubwa yule ni alhamisi?!!
Inaitwa Alhamisi ya mkubwa.Kumbe matukio muhimu yote kwa bwana mkubwa yule ni alhamisi?!!
Ni kweli tunatafuta mchawi wakati mchawi ni sisi wenyewe. Tumekosa heshima kwa taratibu na sheria - sijui labda nis sababu ya ujinga au nini. Inakuwaje chombo kimejaa pomoni mtu bado unalzimishs kupanda kana kwamba usiposafiri utakufa. Tuanzie hap kwanza - hat kwenye mabasi ya dala dala kwa mfano basi limejaa utakuta mtu anakubali kusukumizwa na kukandamizwa kama magunia kwenye basi na anaridhika bila kufikiria habari ya usalama wake.Hahaha sielewi kwanini watu wanatafuta mchawi wakati mchawi ni wenyewe
Uchochezi ni nini kwani?Sasa ukiambiwa kwamba unatoa kashfa, dhihaka na uchochezi utakataa?
KingungPia akikutembelea kama uko hospitali au mzima ujitafakari
Kwanini wanakuwekea maneno mdomoni?? Wapi umezungumzia tukio la ajali??Wapi nimeongelea mambo ya kivuko? Nasikia jumatano kilivusha mtu zaidi ya 600 salama salmini. Ila mimi hayo ya kivuko hayanihusu.
mbona unanitisha mkuuPia akikutembelea kama uko hospitali au mzima ujitafakari
Hata mm mkuuItabidi Nianze Kufuatilia Hiii
Serious!!!Hata inapopakiwa hii meli alipatembelea
Wewe ndiye jiwe mwenyewe?Uhuru ujio na mipaka utakuja kuwaathiri bure. Ushahidi hua haumaanishi kutaja jina la mhusika mmoja kwa moja bali kama unaonyesha viashiria vinavyomhusu mhusika.
Mmesahau Sheria ya Maudhui ya Mitandaoni, siyo?
Kuleta u-much know hauwezi kukusaidia, waacheni akina Mbowe na wanasiasa wengine watukane na kukashifu watakavyo kwani na wao wanakashifiwa. Sasa sisi anonymous tunapotaka kuwa level sawa na wanasiasa tunakosea sana maana hakuna anayetuhukumu kwa matendo yetu, so na wewe usipende kuweka allegations sensitive kama hizi, otherwise una uwezo wa kudhibitisha.
Elewa kuwa, hao jamaa watakapotutaka, hakuna cha JF humu itakayoweza kutuokoa waditufanye wanavyotaka.
How ?Sasa ukiambiwa kwamba unatoa kashfa, dhihaka na uchochezi utakataa?
Mmmh kweli mnafukunyuaAliapishwa Alhamisi, akateua waziri mkuu alhamisi, akaunda serikali alhamisi akaanza kutengua teuzi alhamisi