Siku ya Alhamisi ndiyo siku muhimu zaidi kwa Rais Magufuli katika matukio ya kiuongozi

Uwezo wa kivuko ni abiria 100 halafu alhamisi Kimezama kikiwa na abiria 400 halafu unatafuta mchawi...haya maajabu hayaishi AFRICA...
Sasa kama watu walikaa kwa hamu wakisubiria albadili imkute aliyempiga lisu risasi, unategemea nn
 
Hahaha sielewi kwanini watu wanatafuta mchawi wakati mchawi ni wenyewe

Kaka kazi mnayo safari hii kupitia kila post kuangalia na kuitafsiri inaelekea wapi. Sio mbaya ndio kazi zetu hizi. Za jioni lakini kaka
 
Hata huko darasani kuna wanaopata A, B, C nk. Sasa unashangaa hapa jukwaani mtu akiwasilisha kulingana na upeo wake? Huyo bwana ameongea jambo linalofikirisha, sasa hapo ni tafsiri yako tu.

Sawa, endelezeni mjadala.
 
Wapi nimeongelea mambo ya kivuko? Nasikia jumatano kilivusha mtu zaidi ya 600 salama salmini. Ila mimi hayo ya kivuko hayanihusu.


Endeleeni na mjadala niruhusuni mwenzenu nikapumzike, tuombeane uzima kesho Mungu akipenda
 
Back
Top Bottom