Kongosho naomba unijuze kwanza.
Ina maana hata yule ambae hunywa pombe sana pasipo kuvuta bhangi au kula mirungi lakini wanaufahamu wa akili pale waendeshapo vyombo vya moto,
Nao watahitaji kuhudhuria kliniki?
madame b, natamani ningekuambia vinginevyo ila si maneno yangu.
Ni maneno ya wataalamu wa afya.
Yeyote atumiaye ama kimojawapo, ama vyote, basi sonona i juu yake.
Weitaa! lete tusker nyingine please!
keshokutwa itakua siku ya vinyweleo duniani
mbona umeuliza hivi,wewe ni alcoholic au ni mnywaji tu?just a swaliKongosho naomba unijuze kwanza.
Ina maana hata yule ambae hunywa pombe sana pasipo kuvuta bhangi au kula mirungi lakini wanaufahamu wa akili pale waendeshapo vyombo vya moto,
Nao watahitaji kuhudhuria kliniki?
mbona umeuliza hivi,wewe ni alcoholic au ni mnywaji tu?just a swali
kizaramo au ?Me ni Mnywaji ila kwa kiwango cha Kulala Bar hata Siku 2.
Ndo mana najiuliza.
Unatongola chani?