Jamaa itakua wanafahamu zaidi ya unayoyafahamu.
Inawezekana walisaidiana na Bashite kumvamia na kumuumiza mwenyekiti wetuJamaa itakua wanafahamu zaidi ya unayoyafahamu.
Mbowe alikuwa na mama yako usiku ule,akilisema hilo huoni hata wewe rafiki yangu Kawe utaibika?Kina mbatia wanataarfa nyingi usione wametulia
Unafikiri Kwanini kina Mnyika hawataki kusema Mbowe alikuwa na nani ule usiku !
Hivi kwa Nini hujikito kwenye hoja?kwani wao ndio walimnywesha konyagi? Wampe mlevi pole ya nini hasa?
Mbatia akiwa Arusha alituma salamu za pole kwa Mbowe na wamachame wote!Inafika mahali hata Balozi za nje zinatoa matamko na asasi za kidemokrasia na kiraia zinasema kulaani tukio LA kushambuliwa Mwenyekiti mwenzao wa chama cha upinzani chenye wabunge kama wao bungeni.
Hii yote inaonyesha ni woga wa mfadhili wao CCM kuwa wanaweza kuvuruga mpango wao wa kusaidiwa endapo wataonyesha kukerwa na tukio hilo.
Je, machoni pa raia wa kawaida wanaonekanaje watu hawa? Jee nje ya nchi hii kunajengeka picha gani ya hawa wajiitao wapinzani watakao kurejesha matumaini kwa wananchi?
Ni wajibu wa wananchi kuwayambua kuwa hawa ni hatari na wabaya zaidi ya ccm inayotawala kwa mkono wa chuma. Mnafiki hafai katika jamii yeyote ile na unafiki lazima uteketezwe.
Mke hawezi msaliti mume anayempa kulaJamaa itakua wanafahamu zaidi ya unayoyafahamu.
Mke hawezi msaliti mume anayempa kula
TIAA NA LIPUMBA NDIOO WALIMPELEKA ALIPOTOKA AISEEInafika mahali hata Balozi za nje zinatoa matamko na asasi za kidemokrasia na kiraia zinasema kulaani tukio LA kushambuliwa Mwenyekiti mwenzao wa chama cha upinzani chenye wabunge kama wao bungeni.
Hii yote inaonyesha ni woga wa mfadhili wao CCM kuwa wanaweza kuvuruga mpango wao wa kusaidiwa endapo wataonyesha kukerwa na tukio hilo.
Je, machoni pa raia wa kawaida wanaonekanaje watu hawa? Jee nje ya nchi hii kunajengeka picha gani ya hawa wajiitao wapinzani watakao kurejesha matumaini kwa wananchi?
Ni wajibu wa wananchi kuwayambua kuwa hawa ni hatari na wabaya zaidi ya ccm inayotawala kwa mkono wa chuma. Mnafiki hafai katika jamii yeyote ile na unafiki lazima uteketezwe.
UJINGA AITAKIUsinywe zaidi ya mbiliView attachment 1476086