Siku ya 4 baada ya Mbowe kushambuliwa; Siyo Lipumba au Mbatia ni kimya kizito

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
39,702
71,013
Inafika mahali hata Balozi za nje zinatoa matamko na asasi za kidemokrasia na kiraia zinasema kulaani tukio LA kushambuliwa Mwenyekiti mwenzao wa chama cha upinzani chenye wabunge kama wao bungeni.

Hii yote inaonyesha ni woga wa mfadhili wao CCM kuwa wanaweza kuvuruga mpango wao wa kusaidiwa endapo wataonyesha kukerwa na tukio hilo.

Je, machoni pa raia wa kawaida wanaonekanaje watu hawa? Jee nje ya nchi hii kunajengeka picha gani ya hawa wajiitao wapinzani watakao kurejesha matumaini kwa wananchi?

Ni wajibu wa wananchi kuwayambua kuwa hawa ni hatari na wabaya zaidi ya ccm inayotawala kwa mkono wa chuma. Mnafiki hafai katika jamii yeyote ile na unafiki lazima uteketezwe.
 
Mbatia akiwa Arusha alituma salamu za pole kwa Mbowe na wamachame wote!
 
MBA
Inafika mahali hata Balozi za nje zinatoa matamko na asasi za kidemokrasia na kiraia zinasema kulaani tukio LA kushambuliwa Mwenyekiti mwenzao wa chama cha upinzani chenye wabunge kama wao bungeni.

Hii yote inaonyesha ni woga wa mfadhili wao CCM kuwa wanaweza kuvuruga mpango wao wa kusaidiwa endapo wataonyesha kukerwa na tukio hilo.

Je, machoni pa raia wa kawaida wanaonekanaje watu hawa? Jee nje ya nchi hii kunajengeka picha gani ya hawa wajiitao wapinzani watakao kurejesha matumaini kwa wananchi?

Ni wajibu wa wananchi kuwayambua kuwa hawa ni hatari na wabaya zaidi ya ccm inayotawala kwa mkono wa chuma. Mnafiki hafai katika jamii yeyote ile na unafiki lazima uteketezwe.
TIAA NA LIPUMBA NDIOO WALIMPELEKA ALIPOTOKA AISEE
SAA SABA YA USIKU... EMBUU ACHANENI NA UJINGA
 
15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom