Siku watu wakikutana watakimbiana humu!

Kwa maisha tunayoishi jf ya ufahari mkubwa
Magari ya bei mbaya!

Majumba ya kifahari

Kazi nzuri nzuri

Mavazi ya kifahari
Jf hakuna aliyepanga chumba kimoja labda Nyumba nzima kodi 3 millions na zaidi

Hakuna anayekula kwa shida!

Kila mtu anatembea amekaa tena sio starlet!

Hakuna anayepata mshahara Wa chini ya laki 9!
Wote tumeajiriwa vitengo nyeti!
Au tuna mabusiness au makampuni cc husnathebossylady!

Hakuna anayeungaunga life!

Wote tuko mahandsome na mabeautifu
Tuna ngozi nyororo na sura za mvuto!

Mods naomba watusaidie kupanga get together party walau tukutane one day!
Na wamikoani nao waje dar! Au Wa dar waende mikoani
DJ ukiniona utamkubali Ipogolo. Si fake life. Mie na mbwa wangu tu.
 
Aaaah ex bibi alikuwa anakusifia ....
Ilikuwa hivi siku tunasikiliza nyimbo za Celine Dion ......ukaimba wimbo wa power of love akanambia mjukuu kuwa uyakuyate , nikwamwambia kwanini babu unasema hivyo akanambia huu wimbo unanikumbusha enzi zangu na bibi yako kabla hatujaachana. Yani anasauti kama huyu huyu mwimbaji

Nikamuuliza ulikuwa unampenda akanambia Sana mjukuu Wangu mpaka sasa hivi bado nampenda!! Mbona sasa umemuaacha??

Nikatolewa nduki
Daby
Kasie naomba unisutie huyu mtoto.
 
Na Yale matege uwiii na ile midomo ya diamond na Yale macho ka nyanya chungu sura sasa ka imekamuliwa ndimu komavu!
3f552643db13865c4fca496a94ac9096.jpg
 
Aaaah ex bibi alikuwa anakusifia ....
Ilikuwa hivi siku tunasikiliza nyimbo za Celine Dion ......ukaimba wimbo wa power of love akanambia mjukuu kuwa uyakuyate , nikwamwambia kwanini babu unasema hivyo akanambia huu wimbo unanikumbusha enzi zangu na bibi yako kabla hatujaachana. Yani anasauti kama huyu huyu mwimbaji

Nikamuuliza ulikuwa unampenda akanambia Sana mjukuu Wangu mpaka sasa hivi bado nampenda!! Mbona sasa umemuaacha??

Nikatolewa nduki
Daby

Looh ngoja nimfungie na madirisha kabisa na magrili.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom