Siku wananchi wakichoka kipigo cha askari, nini kitatokea?

Siku wananchi wakichoka kipigo cha askari, nini kitatokea?

Unataka kutuambia hao wanapopigwa na kutiwa vilema na wengine kuuwawa ni wanyama? Acha upumbavu wewe!!! Mbona Mainterahamwe wanaandamana na hao maharamia hawaendi kuwapiga? Haki ya kuandamana nchini si ya MACCM pekee yao bali ni vyama vyote vya siasa. Hiyo demokrasia unayoijua wewe si demokrasia bali ni uhuni, unyanyasaji na upumbavu.

Mtatiro anazungumzia wananchi gani wakichoshwa na kipigo cha askari?

Hivi Askari wanakaa wakipiga wananchi? Vyama vya siasa wasijidanganye na kujificha katika mwamvuli wa Demokrasia kufanya wanachotaka. Hiyo si maana ya demokrasia.

Wasijidanganye kw kuwa wana siasa wanaweza kufanya chochote.
 
Mkuu Eiyer kuna Wabunge wengi ambao hawana hadhi ya kuwa Wabunge, wengine wanaenda kukusanya posho tu hawajawahi kufungua hata midomo yao kuchangia lolote lile au wale wanaojifanya kuchangia basi michango yao pale mjengoni inaweza kukuacha mdomo wazi kwai hupongeza vitu ambavyo havistahili kupongezwa.

Halafu kuna wabunge walikua wanacheka wakati hoja hii ikizungumzwa ....

Napata wasi wasi kama hawa wabunge wana utimamu kisawasawa,iweje uchekelee mtu kupigwa na hana hatia?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Honolulu kuna baadhi ya binadamu wana tabia za ajabu sana, hawathamini kabisa maisha ya binadamu wenzao kwa sababu tu hawana nasaba nao.

Siku mama yako akitandikwa risasi ya kichwa na kufumuliwa ubongo ndipo utakapoona kuwa hizo siyo picha za kawaida.
 
Last edited by a moderator:
Mwandishi mmoja wa kitabu aliandika The beautiful ones is not yet born aliandika akifananisha uozo wa serikali ya Ghana hapa Tanzania bado hatujapata serikal timamu yenye kuwajibika kwa wananchi wake wanachofanya nikutokuwa na uchungu na wananchi wanazidi kujijengea chuki kwa wananchi wakihisi wanafanya vyema hawajuh kuna nuru baada ya giza nene kwa pamoja tuungane kutokomeza uonevu huu.
 
Huo ni mfano dhaifu sana
 
Ni mangapi ambayo police wamefanya kwa influence ya juu songera
 
Last edited by a moderator:
Nyie mnapoteza muda kutaka kupambana polisi huo ni uchochezi
 
Wacha ndugu yangu hasira za Watanzania za miaka nenda miaka rudi siku hiyo hawa maharamia wanaojiita polisi watatafuta pa kutokea. Wataua wangapi!? Waache uharamia wao mara moja kunyanyasa kutia vilema na kuua ili hao Mainterahamwe waendelee kung'ang'ania madarakani.
Masikini sijui yule mwandishi (Mwangosi) alouawa kipindi kile familia yake ikoje kwa sasa. Familia kadhaa zimeachiwa makovu na majeraha yasiyotibika toka kwa askari halafu wao wanaona sawa tu. Mtu kapoteza mume, baba , kaka n.k bado tuseme hii nchi ina amani kweli. Nafikiri amani iliyopo ni kwa makundi flani tu hao ndio wanaoishi paradiso kiasi kwamba hawauoni unyama huu. Ni kama unyama wanaofanyiwa walemavu wa ngozi eti jeshi la polisi halijaweza kabisa kukomesha hili balaa. Mbona anapoauawa mtu wa kwao inakua rahisi kupata hata silaha zilizotumikka within no time.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mkuu Eiyer kuna Wabunge wengi ambao hawana hadhi ya kuwa Wabunge, wengine wanaenda kukusanya posho tu hawajawahi kufungua hata midomo yao kuchangia lolote lile au wale wanaojifanya kuchangia basi michango yao pale mjengoni inaweza kukuacha mdomo wazi kwai hupongeza vitu ambavyo havistahili kupongezwa.
Hapo kwenye wabunge ambao wao kazi yao kusema ndiyoooo ndo penye shida kubwa kuliko tunavyofikiria. Bunge ni mhimili muhimu mno wa taifa letu sasa ukiwa na viongozi wa namna hiyo wanaoangalia maslahi yao ni shida kubwa. Tunategemea watawakilisha wananchi lkn wale walio upande wa wananchi huonekana wapinzani na hawapaswi kurudi mjengoni. Ili mabadiliko yawepo ni mpaka itakapowezekana kubadili fikra na mitazamo ya mamtu ya hivi.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom