Siku ukiamua ndio wanabadilika

Huko vyuoni ni hatari , miaka sisi tunasoma uzinzi ulikua wa kutisha , sasa hiv naona ndio kutakua kumegeuka madanguro kabisa, kiwango cha maambukizi ni cha kutisha
Vyuoni ni hatari kaka. Kama mshamba wa fakufaku, utasahau hata kilichokupeleka. Kifupi ni kwamba Jini mahaba kama kweli yupo basi vyuoni ndo nyumbani kwake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…