Siku si nyingi kuna Mh. fulani ataita waandishi kukanusha alichosema

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
48,673
149,860
Kuna mh. mmoja ameibuka na ya mwaka na huenda hakupata hata ushauri wa walio chini yake. Mh. huyu amekabidhiwa eneo fulani la kiuongozi ila nadhani hafai kabisa na ni bora akaondolewa mapema.

Huyu bwana anaweza kuita waandshi wa habari na kusema ameeleweka vibaya au jambo hili linapotoshwa kwa makusudi.

Pia anaweza hata kuagizwa na wakubwa wake akanushe kama hakutumwa na wao.

Anaweza pia kutoa press release ili kuepuka maswali ya waandishi.

Subirini.
 
Walimu kupanda daladala bure.
Ombaomba kukamatwa na kurudishwa mikoani.
Machangudoa wote kukamatwa na kupelekwa mahakamani.
Mashoga wote kukamatwa na wanaowafollow kwenye mitandaoni pia kukamatwa.
Shisha ni marufuku jijini dar.
Msako wa majobless wote nyumba kwa nyumba dar nzima na watakaopinga kufunguliwa kesi za jinai.
 
Hii ni nchi ya kutamka na kukanusha.
Leo unasema Lowassa ni fisadi kesho unakanusha.
Leo unasema tunaenda Dodoma kuizuia CCM kesho unakanusha.
Leo unasema alipo Tulia mimi sitakuwepo kesho unakuwepo.
Leo unasema pesa hizi si sahihi kutengenezea madawati kesho unajumuika kuyapokea.
 
Viongozi wengine ni bure kabisa. Sehemu kubwa ya uongozi ni kutafuta au facilitate solutions za shida za wananchi. Huyu yeye kazi yake ni kutunisha misuli au kuja na unreasonable and unworkable solutions.
Mkuu huyu shida anatafuta sifa. Firikia kati ya yale yote alikwashatangaza kuna lillilofanikiwa?
Ni Mkuu wa Mkoa mwenye kutoa matamko. Hapo kichwa zero tu hakuna kitu hapo. Siyo innovative hata kidogo.
 
Sena ni Makonda tuu. Bahati mbaya kesha weka mpaka kwenye page yake ya facebook.
Kichekesho eti hata page yake kaanza kujitambulisha kama RC

ImageUploadedByJamiiForums1468614027.035174.jpg
 
@Mr
Kuna mh. mmoja ameibuka na ya mwaka na huenda hakupata hata ushauri wa walio chini yake. Mh. huyu amekabidhiwa eneo fulani la kiuongozi ila nadhani hafai kabisa na ni bora akaondolewa mapema.

Huyu bwana anaweza kuita waandshi wa habari na kusema ameeleweka vibaya au jambo hili linapotoshwa kwa makusudi.

Pia anaweza hata kuagizwa na wakubwa wake akanushe kama hakutumwa na wao.

Anaweza pia kutoa press release ili kuepuka maswali ya waandishi.

Subirini.
mr gentleman
 
Back
Top Bottom