Siku rasmi ya kitaifa ya msamaha - National Sorry day | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siku rasmi ya kitaifa ya msamaha - National Sorry day

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by WomanOfSubstance, Jul 26, 2011.

 1. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #1
  Jul 26, 2011
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Watanzania kama Taifa tuna majeraha ya kila aina na hii imejidhihirisha kwenye mijadala mingi sana hapa JF.

  Wapo wanaoona walikosewa kutokana na imani/dini zao; kutokana na itikadi zao, maeneo wanayotoka, jinsi walivyotendewa na viongozi wao n.k.


  Wapo wanaodhania hakuna namna nyingine zaidi ya kupambana kwa maneno au hata matendo.Lakini tupo wengine tunaodhani bado kuna nafasi ya kuponyeshana majeraha kama yapo.

  Nimejaribu kuangalia jamii nyingine zilizojikuta kwenye hali ya kugawanyika kwa sababu ya maumivu waliwezaje kushughulikia tatizo. Afrika ya Kusini kwa mfano, walipopata uhuru ilibidi wapitie mchakato wa usuluhishi maana pasingetosha ukikumbuka makaburu walivyowafanyia vibaya weusi kwa siasa za unaguzi wa rangi.

  Australia nako kulikuwa na sentiments kwamba wazawa - aborigines walisukumwa pembezoni na hata kuuawa.Wao walianzisha Siku ya kitaifa ya kuombana msamaha The National Sorry Day ilanzishwa 1998 kama namna ya kusawazisha yale ambayo hayakuwa sawa.

  Nikawa najiuliza huenda kuna jamii/nchi nyingine nazo zenye utaratibu tofauti.

  Binafsi sikuwa najua kuna 'damu mbaya" kiasi hili kwa mfano miongoni mwa wenye imani ya Kiislamu kuwa serikali zilizopita zilionea waislam!


  Ikiwa tutakuwa na utaratibu wa kutibu majeraha, isingekuwa jambo jema zaidi kuliko malumbano yasiyoisha? Je itaweza kuondoa chuki, hasira na kinyongo kilichopo?
   
 2. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #2
  Jul 26, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Let The Sleeping Dogs Lie....
   
 3. Technician

  Technician JF-Expert Member

  #3
  Jul 26, 2011
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 843
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  quote:WoS
  Mi nilidhani siku ya HASIRA ndiyo muafaka kwa sasa.
   
 4. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #4
  Jul 26, 2011
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Hapana Technician! Hujui HASIRA NI HASARA? Nani anataka hasara bana!
   
 5. Technician

  Technician JF-Expert Member

  #5
  Jul 26, 2011
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 843
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Sasa nakuelewa kwanini unahitaji nchi ipate sala maana imeharibika kwasababu wewe ni WOMENOFSUBSTANCE
   
 6. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #6
  Jul 26, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Inaelekea unafanyaga makosa, hata mengine ya makusudi
   
 7. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #7
  Jul 26, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  duniani hakuna dhambi mbaya kama dhambi ya uoga, ukiacha kuogopa hautafanya makosa ya kijinga
   
 8. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #8
  Jul 26, 2011
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Wewe Uhuru wa bendera wewe a.k.a Freedom of Flag (lol)..... acha utani kwenye kitu nyeti.... unadhani tunakoelekea kuzuri?
   
Loading...