Siku polisi waliponifuma na msichana gesti

Hao wangekujambisha ungejaa tu wangekupiga hela!
 
Ungefir*a kwa maana kusingekuwa na namna yoyote
 
Ilikua Inyonga huko (wilaya ya Mlele) nilikua kule mwaka 2013 kwa shughuli za ununuzi wa asali napeleka Dar. Nikawa na manzi angu ambaye kila nikienda najishindia, anaitwa Fortunata.

Nlikua lodge moja inaitwa Ukonongo Lodge ipo jiran na chama cha msingi cha Wakulima wa Tumbaku -Ukonongo. Bas bwnaa....

Siku moja nimecheza show majira ya saa8 akaja mtu kama anasukumwa akaangulia mlango wangu. Nlisikia sauti kama ya kundi hivi, Halafu mwanaume mmoja akagonga kwa "fungua". Nikadinda coz nlikua ndani na hela ya kuchukulia mzigo (asali) kama 600,000 ivi afu maeneo ya kule kuna ujambazi wa silaha.

Sikufungua, jamaa waligonga sana mlango na wakataka kuvunja. Nje ilipaki difenda 1, ikaja na nyingine. Aliniongelesha mhudumu, sikufungua.

Hadi ilipofika saa 12.30asb ndo nikaoga na kufungua, walibak askari 2 wananigadi nitoke. Wakanikamata pamoja na yule dem. Tukapelekwa kituoni, dem wanamjua anko ake ni mfanya biashara mkubwa.

Mimi nikafunguliwa kesi "nilizuia mandata kufanya kazi yao". Nikawambia sikua na hakika kama ni mandata, na ninahistoria ya tukio baya la dizain hyo ndo mana sikufungua . Kuhusu mhudumu nilisema nae sikuitambua sauti yake.
 
Mimi pia iliwahi nikuta situation kama yako Jamaa walikuja na magwanda yao kabisa ya kazi na wawili wa kiraia ingawa baadae waliniomba radhi kuwa waliambatana na Afisa biashara kwaajili ya kukagua kuona kama ile lodge walikuwa wanalipa kodi yao ipasavyo Halmashauri.Kwahiyo walikuja kuhakiki idadi ya wateja na kodi wanayoitoa serikalini kama ilikuwa sahihi.
 
Mkuu nataka kwenda kuweka mizinga ya asali inyonga huko,vipi nitatoka?BTW pole sana
 
Ulionyesha ukamanda wako,umenipa experience
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…