Siku polisi waliponifuma na msichana gesti

kazi kweli kweli
 
Hahahahaha hili neno tu limenifurahisha" kumbe ni wew ndo mmetumia hizi kondom zote" kwani yeye alitakaje???
 
Pole, huo ndio uanaume.
 
Haaaaa haaaaaaa hii yako ilikuwa nomaaaaaa. Halafu hawa kina mama wagest kumbe wanakuwa na namba za malaya
 
Wangekuta ni demu wao ungeisoma naomba mkuu!!
 
Mkuu umenikumhusha mbali sana ila mimi namsifu na kumpongeza sana mhudumu wa guest ambayo nililala,nakumbuka ilikua mwaka 2013 nilienda kahama kwa shughuli za biashara,nikiwa ndani na mtoto flani ivi hatari(mwenyeji wangu) mara paap Jamaa hawa hapa mida ya saa5 hapa tayari nishapiga mbili,nilianza kusikia majibishano,kuchungulia dirishani nawaona wajomba na mitutu yao,mhudumu ni mshkaji tu basi jamaa akagoma kabisa kufungua geti kubwa la nje,pamoja na vitisho vyote lakini jamaa alikaza akidai wampe barua inayowaruhusu wao kufanya ukaguzi pale guest,basi ikawa vurugu kwelikweli mwisho wa siku jamaa wakapiga biti eti "arooo tutarudi kukushughulikia "siku ile iliniudhi kwa kuniharibia mood yangu.
 
kwahiyo mbele kwa mbele ikawaje mkuu?
 
hiyo inaitwa nje moto ndani moshi
 
Kuna wakati tumetok club tupo bwiii,kumbe nyumba kuna polisi wanatufatilia ile kupiga hatua mbili wakapuliza filimbi tusimame nilitokomea nikamwacha mwanamke wangu kesho kwend kumwekea dhamana nikawekwa lock up ilikua tabu sna
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…