Niko serious, ila ulipiaji wake inatakiwa niambatanishe reference number pamoja na form ambayo nilifanyia mtihani wa kidato cha pili. Na jinsi ya ulipiaji wake una hatua kadhaa.
1. Unalipia katika ofisi za posta.
2. Unarudi na risiti mpaka shuleni. Kisha umasajili masomo unayofanyia mtihani.
3. Unasubiri form isainiwe na mkuu. Na hatua ya mwisho ni kuirudisha katika ofisi za posta kwa ajili ya kutumwa baraza la mitihani (NECTA). kwa hakika siwezi kudanganya hata mara moja. Nimekuwa nafanya hivh tangu tarehe 8. Siwezi kuongopa kweli
Ni mitihani ya bodi au ni ipi?Pole sana jmn,ningekuwa na uwezo ningekusaidia
Usijali. Hata ukitaka digrii utapata tu, ilimradi ujikane nafsi
Daah! ushauri ndg yang, onana na matron au patron, waeleze tatizo lako, nadhan watakusaidia
Anza kuonyesha njia basi mkuu. Tuko nyuma yako lakini tumevaa nguo.Jamani tumsaidie huyu dogo.
Mdogo wangu ulivyoandika utafikiri kila mtu yuko aware na tatizo lako. Toa detail zinazoeleweka usaidiwe. Kuna watu wako tayari kukusaidia lakini watakuamini je?Habari za asubuhi, ni siku nne tu ndizo zilizobakia. Kiukweli inaniathiri kwa mawazo niliyonayo. Nimesoma kwa shida hapo awali na leo mwishoni nafikia kukata tamaa kwa kukosa kulipia mtihani. Tarehe 31 ndio mwisho wa kulipia. Sijui nini hatma yangu kiukweli. Wapo walioniambia najidhalilisha na wapo waliotaka niwape reference no lakini kimya mpaka leo. Wacha nijidhalilishe kwakuwa ni mhitaji kweli. Na laiti ningekuwa wa kudanganya nisingekuwa naendelea kujidhalilisha kama wengi wasemavyo. Nina shida kweli ndugu zangu. Endapo nikishindwa kati ya siku ya leo au kesho, sitaweza tena. Nawaomba kwa dhati ndugu zanguni... Nawaomba sana.
hamna trh 31 katika mwezi wa nne.
Watu walikejeli sana Diaspora wote kwa $6,000 kutopatikana na kupelekea marehemu kuchomwa moto
Sasa naona nyumbani TZS 27,000 kumwezesha mwanafunzi kufanya mitihani inakaribia kuwashinda
Chris Lukosi Kiranga [MENTION=194183]Dr. mo Jerrymsigwa lusungo Nyani Ngabu Karucee Matola Dinazarde [MENTION=36707]abobukram W. J. Malecela
Habari za asubuhi, ni siku nne tu ndizo zilizobakia. Kiukweli inaniathiri kwa mawazo niliyonayo. Nimesoma kwa shida hapo awali na leo mwishoni nafikia kukata tamaa kwa kukosa kulipia mtihani. Tarehe 31 ndio mwisho wa kulipia. Sijui nini hatma yangu kiukweli. Wapo walioniambia najidhalilisha na wapo waliotaka niwape reference no lakini kimya mpaka leo. Wacha nijidhalilishe kwakuwa ni mhitaji kweli. Na laiti ningekuwa wa kudanganya nisingekuwa naendelea kujidhalilisha kama wengi wasemavyo. Nina shida kweli ndugu zangu. Endapo nikishindwa kati ya siku ya leo au kesho, sitaweza tena. Nawaomba kwa dhati ndugu zanguni... Nawaomba sana.
Kama uko serious tuma account number ya shule pamoja na student number pamoja na kiasi unachodaiwa.... vinginevyo sahau!
weka wazi wewe, kama mhitaji hutaki kuficha ficha. inavyooneka wewe husomi chuo au umeshamaliza unafanya kitu kingine kama cpa hivi, maana deadline yake ndo imeshafika. sasa wapi na wapi habari ya kulipiaitihani kamasio hizo profssionals? be open kaka zako tukupe mawazo
Kijana muda mrefu tulikwambia tuma acc ya shule jina na reg number ukakimbia...
Mwingine alijitolea mwende nae mguu kwa mguu shuleni ulikwepa Leo unaleta story zimebaki siku NNE wacha ubabaishaji wewe
Watu walikejeli sana Diaspora wote kwa $6,000 kutopatikana na kupelekea marehemu kuchomwa moto
Sasa naona nyumbani TZS 27,000 kumwezesha mwanafunzi kufanya mitihani inakaribia kuwashinda
Chris Lukosi Kiranga Dr.Mo Jerrymsigwa lusungo Nyani Ngabu Karucee Matola Dinazarde [MENTION=49208]abakorakoma W. J. Malecela[/MENTION]
Tulimwambia hayo akapotezea
umeshamwezesha?
Watu walikejeli sana Diaspora wote kwa $6,000 kutopatikana na kupelekea marehemu kuchomwa moto
Sasa naona nyumbani TZS 27,000 kumwezesha mwanafunzi kufanya mitihani inakaribia kuwashinda
Chris Lukosi Kiranga Dr.Mo Jerrymsigwa lusungo Nyani Ngabu Karucee Matola Dinazarde [MENTION=49208]abakorakoma W. J. Malecela[/MENTION]
wabongo wamejaa unafki, hebu muite le mutuz hapa tuone mchango wake.
Binamu huyu anarisitii mtihanii pesa inatakiwa ikalipwe postaaa