Siku niliyotamani kiama

[emoji23] [emoji23] [emoji23] Pole sana nimecheka story yako inanikumbusha mtu mmoja miaka ya tisini alikuwa analewa pombe akirudi nyumbani mlango anafunguliwa na mke wake hafu jamaa anamkubatia mke mabusu nk, sikuyasiku kagonga mama mkwe kaja kufungua sasa jamaa mazoea yale akamkumbatia na kumbusu mama mkwe, jamaa alivyoambiwa asubh yake alipotea nyumbani kama mwezi na akaacha pombe hadi Leo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah ww jamaa bonge la fala...nimecheka sana...
 
Nilikuwa nimejiwekea ahadi siku nikipata kazi ntalewa pombe mpaka wanibebe.Mungu si Athumani nikapata ajira ya muda kwenye mradi fulani.Siku niliyopokea mshahara straight to masanga/ulabu.Kasheshe niliporudi home kwanza niiilimba sana kuanzia nyimbo za primary mpaka sekondari,niliamsha familia nzima nikaanza kutoa ushauri kuhusu ujasiriamali,mahusiano ,dini ,siasa kwa wanafamilia usiku wa manane .Mwisho nikawatukana nikawaambia mafala nyie,wajinga wakubwa nani anaweza kutengeneza Millioni kwa siku? Nikawamwagia vihela pale nikaenda kulala.Kesho baada ya kupewa mrejesho nilitamani ardhi ipasuke nidumbukie,nikawa mtu wa kutoka alfajiri kurud usiku mnene.Mshahara wenyewe ulikuwa hauzidi laki na 80 .Mwisho mama aliniambia acha pombe huziwezi.
 
Nimecheka sana, yani laki na themanini tu ukaona dunia yote ni yako
 
 
Duuh aisee nahisii ulihisiii kufa kufaaaa
 
Haa ha ha balaa hiloo
 
..Mi nakumbuka mwaka 2015 tulipofanya uchaguzi wa monita, ushabiki maandazi watu wakachagua jiwe na kuacha nazi....
 
Mimi ilinitokea practical ya physics advance. Ilikuwa balaaa ndani ya chumba cha mtiani. Jasho lilinitililika kama maji.
 
Either ulilogwa au unatudanganya
 
Eksheni kama hii ilinitokea nikiwa nasoma chuo halafu naishi kwa sista na nashea rum moja na wajomba hahaaaaaa

Siku ya kwanza niligonga mzigo wakat sista hayupo,madogo wakausoma mcgezo wakamwambia sista,siku ya pili mtoto kaja na sista akajifanya katoka,ile twaingia rum naanza msaula bint mara sista akaniita sebuleni,akanipa full mkanda,akamuita bint,akamtoa baruti,ila nashukuru tuliyamaliza wawili
 
Haahaa sura gani hiyo mkuu uliisahau,ulikuwa unamungunya Maneno au
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…