Siku niliyotamani kiama

Hahaha!!..aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ha ha ha ni aibu kubwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ilikuwa twende ukweni kutoa Mahali sasa kwa shy nikaona nile tungi la kutosha ili nisone shy daa si nikazidisha ikabidi msindikizaji wangu anishauri nile ndizi mbivu ili harufu itoke si unajua Serengeti ilivyo.Nikanunua ndizi nikaona mbona bado si akashauri ninunue packet ya maziwa Lato fresh milk ninywe kukata kilevi aisee kumbe nimeharibu tumbo likaanza kuunguruma gesi tumboni ikajaa mida ikafika mezani tukakaa mezani aisee Shuzi si likanitoka tena la sauti kama talumbeta kubwa aisee nilitamani kipindi cha kukabidhiana mahali kiishe mapema aisee.NIMEJAMBA MBELE ZA WAKWE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiii nimecheka
 
Hivi vitu ni kawaida mkuu, hutokea pia kwenye oral interview, unajikuta mzee unaweza Hata kusahau jina lako.. Wale panel members huwa wana enjoy saana
Mmh hiyo tena usiseme nina ushuhuda wake pia c mchezo
 
Hivi vitu ni kawaida mkuu, hutokea pia kwenye oral interview, unajikuta mzee unaweza Hata kusahau jina lako.. Wale panel members huwa wana enjoy saana
Hahahaha.
 
Mi nliingia kwenye pepa la kemia form 4 mtihani wa taifa,kuangalia hakuna hata swali moja nalolielewa alaf hakuna maswali ya kudefine.aisee ikabidi nijiongeze tu,matokeo yanakuja kutoka nina C.wajuvi wataelewa hyo C ilipatikanaje,kwa kumalizia nashukuru watahaniwa wenzangu kwa kunipa ushirikiano.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaa, kumbe ukiwa katikati ya Wale panel members Hali huwa nzito almost Kwa kila mtu
 
Mkuu umetisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaa sasa ungepewa Mlango ushuke nao mwenyewe ingekuaje apo Shekhe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sitosahau siku nilimwingiza Mwanamke room kwangu nile mzigo ambapo ili nifike room kwangu lazima nipite coridor ya kwa Mama. Ebana nikategea Mama kaondoka mtoto akazama ndani kama kawaida yangu sijawahi kuacha viatu nje hata siku moja nikiwa kula papuchi.

Nimekula papuchi nimemaliza nashika simu nakuta missed call 12 za Mama hapa nliisi kufa nikaingia bath room uzuri ilikua ni ndani kwa ndani nikanawa uso maana niliambiwa eti ukila mzigo jicho linakua jekundu kama nyanyaa😄

Nikampigia Mama akanambia nipo nje hapa maini yalivurugika sana tumboni nikafungua mlango akanangalia kwa asira sana machoni akanambia umekula chakula Kwa ukali, nikajibu nilikua nimelala . Ebana akanambia nenda shop kanchukulie vocha nlivoenda narudi nakuta mama na binti wako room kwangu nliona aibu sana binti alilia sana.

Ila mama aliyamaliza kwa ushauri mzito mno! Now days siishi kwa mama naendaga kumsalimia tu. Mtoto kwa mama akui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…