fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 5,656
- 7,258
Ni miaka 5 iliyopita jijini dar,nilikuwa na mchepuko wangu ambae tuliishi kwenye mapenzi miaka 4.Nikaenda kumtembelea alinipokea vizuri sana na nilikaa kwake hapo mwezi mzima.Na tulijadiliana mambo mengi na tuliishi kwa raha sana na tulikuwa tunanyanduana sana sana kiasi ambacho shuka zilikuwa zinaloana sana.
Huyo mdada namzidi umri sana hivyo tulikuwa tunatumia kinga kwani sikutaka azae nimharibie maisha maana siwezi kumuoa.
Hata hivyo nilikuwa namgharimia kila kitu,nguo,chakula,kodi ya nyumba,matumizi mengine yote.
Sasa tukaongea about future yake,ndipo aliponiambia kapata mchumba ambae anataka kumuoa,japo mchumba mwenyewe anatoka marekani.Hivyo tulikubaliana tuachane kwa amani na furaha ili kumpa fursa ya kuwa na huyo mchumba wake.
Basi huo usiku tulikula chakula hapo nyumbani,tukafanya sala ya kumuombea maisha mema,na kwakuwa kesho yake ndio nilikuwa naondoka basi tulikesha tunaongea na kuagana na mara nyingi alikuwa analia sana.
Asubuhi nilimuaga nikachukua teksi hadi eapoti na kurejea Mwanza
Mchumbae alikuja wakaoana na baada ya mwaka huyo dada akaenda marekani kwa mumewe hadi sasa yuko huko