Siku nilipopata binti wa kiarabu mkoani Tanga, sikuamini nilichokiona.

Habari!
Kama kawaida leo nataka nipambe jamvi kwa mkasa ulionitokea miaka kama 9 iliyopata kule Tanga.

Ujana ni mapito na kuna wakati unakuta umeingia ktk mtego wa kuwa na mahusiano mapya.

Mwanzoni nilikuwa nafikiri vibaya sana na dhana potofu kuwa "mademu wa kizungu, kiarabu na kihindi wanajua sana mapenzi na wazuri kwenye ile shughuli ya ukubwa".

Nisiwachoshe sana. Ilikuwa mwaka 2004 mkoani Tanga ktk harakati za maisha nikawa nimefikia kwa rafiki yangu mmoja ambaye tulifahamiana kabla.

Jirani na pale nilipokuwa nimefikia alikuwa anaishi mzee mmoja mwarabu. Ikapita kama wiki moja nikabaini pale nyumbani kwa mzee mwarabu pana binti mmoja wa kati ya miaka 25-30.

Basi siku moja asubuhi sana yule binti akawa anafanya usafi nyumbani kwao. Nilivyotupa jicho nikakutana na sura ya binti wa watu, hakika binti aliumbika, kuanzia sura hadi umbo,na hii rangi yao nikichanganya na dhana yangu kuwa "wazungu, wahindi na waarabu ndo WAZURI" nikachanganyikiwa.

Nikajikaza nijaribu kumsalimia. Nikajisogeza na kumsalimia. Nikaanza kumzoea na mwisho nikatupa nyavu. Bila hiyana binti akanikubalia.

Ikabaki kama wiki 2 kurudi kutoka Tanga nikapanga kukutana na binti ili nipate kuhakikisha na kufaidi kutoka kwa mwarabu wangu.

Nakumbuka vizuri ilikuwa siku ya ijumaa lakini sikumbuki tarehe, nikakutana na binti kwenye guest house moja maeneo ya Sahare.

Basi mchezo ukaanza. Ndugu yanguuuu!!!! Nikaona hali ya chumba imebadilika. Nikajiuliza kuna kapanya kamekufa humu chumbani? Nikajikaza na kujifanya napotezea!!

Oops!!! Sasa si ukafika ule wakati wa nyoka kuingia pangoni ndugu yangu!!!! Oooh! Kama nyoka kaingia kwenye snows za Alaska. Hiyo hali ya ubaridi inatisha. Nikajaribu kujikaza nikashindwa hata nyoka akakataa kutema mate ya sumu.

Nataka kuvaa binti akanizuia kuwa "ugomvi unaendelea kwani yeye hajapigwa vya kutosha". Nikajifanya nimezidiwa najisikia vibaya naumwa malaria na nimemeza dawa siku ile. Binti kanipa pole na akaniruhusu kuvaa.

Basi hadi naondoka Tanga nikawa nina dhana nyingine kabisa kuhusu waarabu japo nje tunapendezaje kuwaangalia na kudhani "wanajua".

Siku nikifika tena Tanga nitatafuta waswahili wenzangu.

Alamsiki.

Hakuna puchi ya baridi problem huwa ni user mwenyewe, turn it on first then dip it
 
Wangu yuko moto mpaka raha,,,sitegemei kutafuta papuchi za nje
 
vp hakudai umle kabaang mana nasikia watoto wa kike wa race ya mtume hiyo kitu ni desturi.
 
acha uongo kaka,katika maisha yangu sijatembea na mhindi ndio nijue yukoje lakini kwa wasifu huu unao usema nakukatalia kabisa kaka.hizi ni "here say stories"mwarabu ni kama mwanamke mwaingine yeyote yule japokuwa napenda kukiri kuwa a black woman is the best and the sweetest of all

sasa kama hujatembea na Mhindi, so unachobisha ni nini wewe Mtu?
 
me ndio maana huwa napenda kutembea na dhana zangu full km vile air fresh, sponji km papuchi ina maji mengi.

Duh..!! kwa hiyo muda wote unakuwa tayari tayari na zana zako!?? afu si ajabu katika zana zote unazobeba kondom haipo kwenye orodha.
 
kwani uongo? hatujalala guest sahare sisi?

tobaaa...kwa namna uandikavyo ni kama headings za magazeti ya Shigongo...waungwana hawakawi kudhania watu8 na Smile walilala guest huko Sahare, ndio maana nkasema ni tungo tata...

Naam best kule ni Sahare kwa Baba Ubaya....
 
mi sijui kama ni tungo tata au vipi nachojua tulilala gest sahare
 
Habari!
Kama kawaida leo nataka nipambe jamvi kwa mkasa ulionitokea miaka kama 9 iliyopata kule Tanga.

Ujana ni mapito na kuna wakati unakuta umeingia ktk mtego wa kuwa na mahusiano mapya.

Mwanzoni nilikuwa nafikiri vibaya sana na dhana potofu kuwa "mademu wa kizungu, kiarabu na kihindi wanajua sana mapenzi na wazuri kwenye ile shughuli ya ukubwa".

Nisiwachoshe sana. Ilikuwa mwaka 2004 mkoani Tanga ktk harakati za maisha nikawa nimefikia kwa rafiki yangu mmoja ambaye tulifahamiana kabla.

Jirani na pale nilipokuwa nimefikia alikuwa anaishi mzee mmoja mwarabu. Ikapita kama wiki moja nikabaini pale nyumbani kwa mzee mwarabu pana binti mmoja wa kati ya miaka 25-30.

Basi siku moja asubuhi sana yule binti akawa anafanya usafi nyumbani kwao. Nilivyotupa jicho nikakutana na sura ya binti wa watu, hakika binti aliumbika, kuanzia sura hadi umbo,na hii rangi yao nikichanganya na dhana yangu kuwa "wazungu, wahindi na waarabu ndo WAZURI" nikachanganyikiwa.

Nikajikaza nijaribu kumsalimia. Nikajisogeza na kumsalimia. Nikaanza kumzoea na mwisho nikatupa nyavu. Bila hiyana binti akanikubalia.

Ikabaki kama wiki 2 kurudi kutoka Tanga nikapanga kukutana na binti ili nipate kuhakikisha na kufaidi kutoka kwa mwarabu wangu.

Nakumbuka vizuri ilikuwa siku ya ijumaa lakini sikumbuki tarehe, nikakutana na binti kwenye guest house moja maeneo ya Sahare.

Basi mchezo ukaanza. Ndugu yanguuuu!!!! Nikaona hali ya chumba imebadilika. Nikajiuliza kuna kapanya kamekufa humu chumbani? Nikajikaza na kujifanya napotezea!!

Oops!!! Sasa si ukafika ule wakati wa nyoka kuingia pangoni ndugu yangu!!!! Oooh! Kama nyoka kaingia kwenye snows za Alaska. Hiyo hali ya ubaridi inatisha. Nikajaribu kujikaza nikashindwa hata nyoka akakataa kutema mate ya sumu.

Nataka kuvaa binti akanizuia kuwa "ugomvi unaendelea kwani yeye hajapigwa vya kutosha". Nikajifanya nimezidiwa najisikia vibaya naumwa malaria na nimemeza dawa siku ile. Binti kanipa pole na akaniruhusu kuvaa.

Basi hadi naondoka Tanga nikawa nina dhana nyingine kabisa kuhusu waarabu japo nje tunapendezaje kuwaangalia na kudhani "wanajua".

Siku nikifika tena Tanga nitatafuta waswahili wenzangu.

Alamsiki.

Mkuu kumbe we mzinzi eh?
Sorry nimenyumbulisha toka kwenye story yako

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
hayo mambo zamani watu ndo walikuwa wanajisifia ukimchapa demu sio hali ilivyo sasa utavaa pampers muda sio mrefu!!!!
 
Back
Top Bottom