Siku nilipompiga mchawi

Siku nilipompiga mchawi

Kwanini ulimtemea mate? Kwakuwa alikuwa anadhuru wasio na hatia je huoni kwakumuachia mchawi aendeleee kuroga nawewe Ni MMOJA Kati Yao?WAARABU WA PEMBA.............
Nilikuwa nimempa fundisho, ningekataa kumsamehe ingekuwa vita kali sana. Wana ushirikiano
 
Jamaa kanifurahisha hapo kwenye

Saa Saba usiku
Siku ya tatu
Kisha akamalizia Wiki ya pili

Hadithi ya kuanzia siku hii, ila uko vizuri kwa kusimulia hadithi.
 
Acha ushambenga kwann mfano wako umetaja kanda ya ziwa? Au ndo kuna wachawi sana ? Wivu tu kwavile mtukufu raisi anatokea kanda yetu pedwa!
 
Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu. Haya maneno ya nani...

"Babu yangu alikuwa amekwisha nifundishi mambo ya kufanya ninapohisi kuna mchawi."
Mkuu hebu tupe jibu la hili swala.
Ulifundishwa ama ulirithi????
 
Nipate bahati hiyo ndio nimeua hivyo siwezi kumuacha salama hapo ajue kafa tu.



MAGUFULI4LIFE.
 
Back
Top Bottom