Siku nilipolazimika kutumia silaha

kwahyo dada zako ukawaaacha kijijini waendelee kubakwa na hao jamaaa?
Mkuu yule binti alieleteleza yote hayo alikua amemaliza shule mwaka1 uliopita lkn kumbe hakua na mienendo mizuri hpo home c unajua mji bila Baba
 
Ni kweli mdogo wako alikula pesa za watu?
Kwa jinsi nilivyokuja kusimuliwa na mama yule mdogo wangu hakua na mienendo mizuri hpo home, kwaiyo vyote inaweza kua
 
Aise pole sana mkuu!!
Hayo matukio yapo sana kuna kipindi inakulazimu utumie silaha ili kuokoa maisha mahali usipotegemea..
Mengne ngumu hata kusimulia humu
 
Uliipata wapi mpaka uanze kuikoki?
 
Ulitakiwa moja upige juu ya pili uzishe kwenye ugoko. Ukitoka hapo unalekebisha tabia za dada zako kwa bakora za haja, mpka mama ajue kweli mwanaume kaingia na mabinti wapoteze kihelehele chote cha kuja mjini kwa brother. Si ajabu ukute mabinti walikuwa wanamsumbua sana mzazi.

Kwa namna nyingine hii inaonyesha jinsi vijijini mfumo dume na unyanyasaji wa kingono ulivyotawala, hao mabinti ungelegea wangeliwa tu kwa nguvu na hao washenzi. Na wanaweza pata mimba na kuna watu hawaamini kama wanaweza rudi shule kusahihisha makosa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…