Siku nilipolazimika kutumia silaha

Siku nilipolazimika kutumia silaha

TOEDSLOTH

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2018
Posts
781
Reaction score
1,490
Wakuu kama kichwa cha hbri inavyosema hpo juu mwezi wa nne mwaka huu nilienda kijijini, kwa maana ya kumtembelea mama yangu mkubwa kwa lengo la kula sikukuu ya pasaka, nilifika mida ya jioni ya saa kumi na moja mama yangu alinipokea kwa bashasha kama mwanae, pmja na watoto wake kwa maana ya wadogo zangu kiujumla walinipokea vzr sana, akanitambulisha kwa wadogo zangu wale ambao niliwaacha wakiwa wadogo kbsa, sbbu ni miaka mingi nilikua sijawai kwenda uko kijijini kwake, nikachinjiwa kuku kama mgeni muhimu sana, ikafika mda wa kwenda kanisani ucku namaanisha Ibada ya mkesha wa pasaka, nikaongozana na wadogo zangu wa kike wawili kwa mguu, sbbu njia ilikua mbaya haipitiki kwa gari kwa maelezo ya wenyeji wangu, kanisa lipo mbali na pale nyumbani kama kilomita mbili na kitu, wakati nimeongozana na wale wadogo zangu wa kike, ghafla nikazingirwa na vijana kama wa3 nikamulikwa tochi usoni nikawauliza wale vijana nini madhumuni yenu? Nikajibiwa na banzi sijapata kuona! Mmoja wa wale vijana akasema Leo Latifa (cyo jina lake halisi) tunataka hela zetu malaya mkubwa, anaambiwa mmoja wa wale wadogo zangu, nikamshika kijana moja nikampa kichwa, ghafla akatoa panga nikaona nachelewa wataniua hawa, nilichokifanya ni kuichomoa Glock nilipiga risasi mbili hewani kwa mfululizo, nilijikuta nimebaki peke yangu, wakakimbia wale vijana. pmja na wadogo zangu wale nao walikimbia na kutokomea kbsa. Nikaanza kurudi nyumbani na ugeni ule dah! Nilipata wakati mgumu sana mpka kufika nyumbani, kulipokucha nikaenda polisi kutoa taarifa na kuandika maelezo, ilinibidi nifupishe ugeni pale nikarudi kwetu, wanajamvi hichi ni kisa cha kweli nimeona nishee na nyie, ila kama hataamini mtu pia cyo lzma, nipo tayari kukosolewa, karibuni tushee
 
Mkuu nikodishe hiyo mashine ntakuwa naleta hesabu kwa mwezi
 
Hao wadogo ulikuja kutana nao nyumbani au walienda kanisani baada ya kukimbia
 
Unaenda kanisani halafu unamulikwa tochi njiani....huko kijijini wanasali usiku.?
 
Wakuu kama kichwa cha hbri inavyosema hpo juu mwezi wa nne mwaka huu nilienda kijijini, kwa maana ya kumtembelea mama yangu mkubwa kwa lengo la kula sikukuu ya pasaka, nilifika mida ya jioni ya saa kumi na moja mama yangu alinipokea kwa bashasha kama mwanae, pmja na watoto wake kwa maana ya wadogo zangu kiujumla walinipokea vzr sana, akanitambulisha kwa wadogo zangu wale ambao niliwaacha wakiwa wadogo kbsa, sbbu ni miaka mingi nilikua sijawai kwenda uko kijijini kwake, nikachinjiwa kuku kama mgeni muhimu sana, ikafika mda wa kwenda kanisani ucku namaanisha Ibada ya mkesha wa pasaka, nikaongozana na wadogo zangu wa kike wawili kwa mguu, sbbu njia ilikua mbaya haipitiki kwa gari kwa maelezo ya wenyeji wangu, kanisa lipo mbali na pale nyumbani kama kilomita mbili na kitu, wakati nimeongozana na wale wadogo zangu wa kike, ghafla nikazingirwa na vijana kama wa3 nikamulikwa tochi usoni nikawauliza wale vijana nini madhumuni yenu? Nikajibiwa na banzi sijapata kuona! Mmoja wa wale vijana akasema Leo Latifa (cyo jina lake halisi) tunataka hela zetu malaya mkubwa, anaambiwa mmoja wa wale wadogo zangu, nikamshika kijana moja nikampa kichwa, ghafla akatoa panga nikaona nachelewa wataniua hawa, nilichokifanya ni kuichomoa Glock nilipiga risasi mbili hewani kwa mfululizo, nilijikuta nimebaki peke yangu, wakakimbia wale vijana. pmja na wadogo zangu wale nao walikimbia na kutokomea kbsa. Nikaanza kurudi nyumbani na ugeni ule dah! Nilipata wakati mgumu sana mpka kufika nyumbani, kulipokucha nikaenda polisi kutoa taarifa na kuandika maelezo, ilinibidi nifupishe ugeni pale nikarudi kwetu, wanajamvi hichi ni kisa cha kweli nimeona nishee na nyie, ila kama hataamini mtu pia cyo lzma, nipo tayari kukosolewa, karibuni tushee
Ntumee unaenda na chamoto kanisani?
 
Back
Top Bottom