Nyankuru Wankuru
JF-Expert Member
- Apr 22, 2018
- 1,199
- 1,346
Tabia hii ya kuiniita majina matamu matamu imekithiri kwa my wife hasa nikiwa na pesa mfukoni, na hata inapokaribia mwisho wa mwezi.
Na tabia hii nimeishudia kwa baadhi ya watu na hata viongozi kuita wakubwa wao majina mazuri mazuri tu.
Sasa sijajua kama ni unafiki au ndio kujipendekeza .
Labda kwa nyie wenzangu hali ikoje kwenu huko?