Siku ngumu maishani

Siku ngumu maishani

Pale unapopokea barua ya kufukuzwa kazi na kesi mahamakani ya ubadhirifu huku ukiwa na deni bank?

Unapogundua kaka/mdogo wako kumbe ni shoga (gay).

Father Amefariki huku familia mnapigania mirathi.

Umedisko chuo au umepiga zero.

Mkeo unachapiwaaaa.

Umepima umekutwa na HIV.


Mwanzo WA STRESSS:angry::angry:

Umewaza nini the ideologist? kuna ukweli mwingi na uhalisia pia
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahah,naona ataka nishuke ili apande yeye sasa namie nimemuweza kweli yaani hapo mpaka expire date ifike ndo nashuka

anhaaaaaa!!! kumbe unatamba sasa dawa yako ikitokea sikukuu yoyote tunamchinja!!!!
 
hapo akili lazima ipoteze mwelekeo kwa muda
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom