Siku Muungano Ukivunjika

LAZIMA UTAVUNJIKA TU! VIASHIRIA NI VINGI MNO!
1. Malalamiko ya wazenji ni mengi mno - mara ooh tunaonewa!, mafuta yakigunduliwa yetu (kelele nyiingiii kabla ya ugunduzi, yakigunduliwa itakuwaje?
2. Wameshakamilisha hatua zote za kujitenga - wana Rais, wana katiba yao, wana wimbo wao wa Taifa, wana serikali yao, wana bendera yao, wana timu yao ya taifa, wana mashirika yao, wana majeshi yao, Zanzibar ni nchi kwa mujibu wa katiba yao, n.k. Je, kimebaki nini? Tanganyika ina nini cha kipekee? Vyote vya Muungano. Yaani Zanzibar ina CHANGU na CHETU, lakini Tanganyika imemezwa na kusikika kwa mbali kwenye CHETU!.

Tenende,
Katiba ya Zanzibar ni batili. Lakini usiwaambie waache wajidanganye. Ili katiba yao kuwa halali lazima ipitishwe na bunge la serikali ya muungano wa Tanzania kwa theluthi mbili za kura. Upo hapo? Waache wajidanganye.
 
Tenende,
Katiba ya Zanzibar ni batili. Lakini usiwaambie waache wajidanganye. Ili katiba yao kuwa halali lazima ipitishwe na bunge la serikali ya muungano wa Tanzania kwa theluthi mbili za kura. Upo hapo? Waache wajidanganye.

Katiba ni nini??

Watanganyika inawahusu nini katiba ya wazanzibar? hadi ipitishwe na muungano??
 
Katiba ni nini??

Watanganyika inawahusu nini katiba ya wazanzibar? hadi ipitishwe na muungano??
Topical,
Baada ya muungano katiba ya Wazanzibari inatuhusu. Kama wanataka kuvunja muungano, ema watumie nguvu au watushawishi bunge letu liwaridhie kwa theluthi mbili ya kura. Kwa hiyo hiyo katiba wanayojidanganya nayo Wazanzibari waliyoipitisha majuzi ni batili. Kikwete analijua hilo ndio maana amekaa kimya.
 
Dawa ni kubadili aina ya muungano vinginevyo kwa staili hii hali ni tete. Hatua ya sasa inaashiria mwisho mbaya.
 
Wadanganyika mpo?najua jina lenu la tanganyika hamlitaki!ila sisi zanzibar tushachoka kwa sana tu.sisi ni wazanzibari bwana,tuna utamaduni wetu,mambo yetu,itikadi zetu.na muungano ukifa ndugu zetu sisi ni wale walokua katika sisi ni waislam wenzetu wa tanganika ndo ndugu zetu .nyie wakiristo wote mtahama huku znz.na sas tunaanza upereshen za kuhakikisha baa zote hamna.je nyinyi mkianza na baresa si mtakufa na njaa?kwa kua mtakosa sembe.?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom