ladyfurahia JF-Expert Member Joined May 10, 2011 Posts 14,758 Reaction score 9,589 Mar 8, 2021 #1 Habarini Ni siku muhimu sana ya kumbukizi ya mwanamke duniani ila je ametambulika na je amesaidiwaje kuichumi, kijamii na kimaendeleo? Wenu Ladyf
Habarini Ni siku muhimu sana ya kumbukizi ya mwanamke duniani ila je ametambulika na je amesaidiwaje kuichumi, kijamii na kimaendeleo? Wenu Ladyf
Jasmoni Tegga JF-Expert Member Joined Oct 28, 2020 Posts 13,481 Reaction score 26,357 Mar 8, 2021 #2 Safi sana ladyfurahia kwa kutuwakilisha vilivyo. Behind every successful man, there is an equally intelligent, brave, unassuming woman. ^Hata bila kuwezeshwa tunaweza!^ Jambo la msingi ni mazingira rafiki!!!
Safi sana ladyfurahia kwa kutuwakilisha vilivyo. Behind every successful man, there is an equally intelligent, brave, unassuming woman. ^Hata bila kuwezeshwa tunaweza!^ Jambo la msingi ni mazingira rafiki!!!
Wangari Maathai JF-Expert Member Joined Aug 13, 2018 Posts 34,959 Reaction score 70,694 Mar 8, 2021 #3 ladyfurahia said: View attachment 1720089 Habarini Ni siku muhimu sana ya kumbukizi ya mwanamke duniani ila je ametambulika na je amesaidiwaje kuichumi, kijamii na kimaendeleo? Wenu Ladyf Click to expand... Tukisubiri kusaidiwa kiuchumi tutachelewa...tuanze mdogo mdogo
ladyfurahia said: View attachment 1720089 Habarini Ni siku muhimu sana ya kumbukizi ya mwanamke duniani ila je ametambulika na je amesaidiwaje kuichumi, kijamii na kimaendeleo? Wenu Ladyf Click to expand... Tukisubiri kusaidiwa kiuchumi tutachelewa...tuanze mdogo mdogo
ERoni JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 52,359 Reaction score 118,737 Mar 8, 2021 #4 Ametambulikaje? Amesaidiwaje? WTF, kumbe safari bado ndefu!
The Icebreaker Platinum Member Joined Apr 24, 2014 Posts 34,080 Reaction score 102,556 Mar 8, 2021 #5 ladyfurahia said: View attachment 1720089 Habarini Ni siku muhimu sana ya kumbukizi ya mwanamke duniani ila je ametambulika na je amesaidiwaje kuichumi, kijamii na kimaendeleo? Wenu Ladyf Click to expand... Amesaidiwaje kiuchumi? Anatakiwa asaidiwe na nani kwani? Bado una fikra tegemezi?
ladyfurahia said: View attachment 1720089 Habarini Ni siku muhimu sana ya kumbukizi ya mwanamke duniani ila je ametambulika na je amesaidiwaje kuichumi, kijamii na kimaendeleo? Wenu Ladyf Click to expand... Amesaidiwaje kiuchumi? Anatakiwa asaidiwe na nani kwani? Bado una fikra tegemezi?